TID kumburuza Steve Nyerere mahakamani

TID kumburuza Steve Nyerere mahakamani

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii TID amepanga kumfikisha msanii mwenzake Steven Nyerere mahakamani akimtuhumu kumchafua kuwa amepewa hela na Makonda kwenye clip iliyosambaa mitandaoni

 
Si alisema asipoomba msamaha au kukanusha sasa Steve si keshaomba msamaha Na kasema yote ni uwongo ilikuwa ni katika kumpoza/kumfariji mama tu
 
steve alinifurahisha alipojitetea kuwa yale aliyoongea alikuwa kwenye fani yake ya uigizaji, ati alikuwa anaigiza tu sio ya kweli...hahaha. hata jina la tid basi alikuwa anafanya rehearsal ya kuigiza, jamaa asimpeleke mahakamani.
 
Back
Top Bottom