Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyama anataka kujtoa kiaina kwenye hili sakata kumb asichojua anazid kukoleza motoatasababisha stive alie mahakamani
Mkuu unamaanisha uhondo mtupu au utumbo mtupu?Bongo fleva + Bongo muvi + siasa za dar = Uhondo mtupu!
DB unamaanisha Daudi Bashite? Ha ha haaaa,,,,, safari hii hatapumua hata kidogo ameyataka mwenyewe!!TID amesema atampeleka Steve Nyerere mahakamani ili Athibitishe Kuwa aiipewa Sh milioni 2 na DB ili ajitokeze mbele ya hadhara kupiga vita madawa ya kulevya..
Source: EATV e~Newz
.....Safi sana ! Laana ya uongo ni lazima iwababue , wewe si ndio ulidai umeacha unga ndani ya siku 7 ? Hivi ulilenga uongo ili iweje ?
DB stands for ???????TID amesema atampeleka Steve Nyerere mahakamani ili Athibitishe Kuwa aiipewa Sh milioni 2 na DB ili ajitokeze mbele ya hadhara kupiga vita madawa ya kulevya..
Source: EATV e~Newz
amepeleke tu hawezi kutajataja majina ya wakubwa kuwa kumridhisha mama wema.
Mimi simkubali huyo nyerere lakn kwa maongez yale hamna kesi, mahakaman hakuna majina kama TID . Katika clip ile hajataja jina lake halisi. So atashindwa asubuhi kweupe. Sema alitaka tumsikie tumemsikia
Daudi BashiteDB stands for ???????
Mbona aliitwa central kwa jina hilo na alienda?Mimi simkubali huyo nyerere lakn kwa maongez yale hamna kesi, mahakaman hakuna majina kama TID . Katika clip ile hajataja jina lake halisi. So atashindwa asubuhi kweupe. Sema alitaka tumsikie tumemsikia
A. K. A Jembe .[HASHTAG]#mnyama[/HASHTAG] TID
Database[emoji23] [emoji23]DB stands for ???????
sikuhizi hana UNYAMA wowote kawa MDUDU NYOKA.[emoji3][emoji3][emoji3] mnyama anaingia kichwa kichwa atulie hapo hapo
Alisahau ule usemi kabla hujaanzisha vita hakikisha kwako umeshaimarisha ulinzi[emoji3][emoji3][emoji3]DB unamaanisha Daudi Bashite? Ha ha haaaa,,,,, safari hii hatapumua hata kidogo ameyataka mwenyewe!!
DB ni nani?TID amesema atampeleka Steve Nyerere mahakamani ili Athibitishe Kuwa aiipewa Sh milioni 2 na DB ili ajitokeze mbele ya hadhara kupiga vita madawa ya kulevya..
Source: EATV e~Newz