Tid kutukana kwenye redio we... Ulimkaza zamani ulikuwa na maana gani we mhuni

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mi nasema kuna waumini wamedandia hizi fani za muziki
nahisi next tym clouds mpange jinsi gani ya kualika sio kila mtu anaalikwa kuimba mtaalika wahuni
majuzi nikitoka kazini alishereheshwa jina la tid baadae akapewa mike aonge katika kuongea akaanza kusema maneno kibao mazuri he akamalizia kama wema nilimkaza zamani
sasa sidhani ni wakati wa kualika wahuni kama hawa kwenye matamasha yenu

na sidhani ni sehemu ya kuonyeshana umwamba wa maisha yenu ya ...........................
Sikupendezwa na hili ruge naamini atarudi kuomba radhi kwenye redio yenu else msikubali awepo tena kwenye maonyesho yenu anawazazalilisha else wote mnaonekana kama tid
 
alisema radioni au fiestani? kama tid sishangai,hajawah kuchuja kitu b4 hajaongea.
 

duh! ukistajaabu ya firauni .....
 
Unga unaongea sii yeye!mhh kumbe wema ni bonge la mama huruma
 
alisema radioni au fiestani? kama tid sishangai,hajawah kuchuja kitu b4 hajaongea.



redioni ndugu nilisikia haja kubwa gafla
loh nikasema ni TID ama mwingine binafsi ni kijana mtashi ukiacha mambo yake ya ujana ambayo naamini muda ukienda anabadilika lakini hili loh.....
 
So what if you don't like it change the channel!
 
[h=3]Khaleed Mohammed' TID', Kheri Sameer Mr blue,Marehemu Steven Kanumba,Chalz baba,Naseeb Abdul' Diamond' wanadaiwa kulala kitanda kimoja na Wema sepetu...![/h]
[h=3][/h]
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: justify"]Msanii wakiTanzania Wema Ibrahim Sepetu [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na Taji Hamza.

Msanii maarufu wa filamu nchini Wema Ibrahim Sepetu amesema Sanaa kwake ni kazi na sababu inayomfanya kila siku azidi kung'ara ni ubunifu ambao humfanya kuwa tofauti na wenzake.

Wema ni miongoni mwa wasanii mahiri anaetoka katika kundi la bongo movies ambalo linaongozwa na Vicent Kigosi'Ray'ambaye ni mwenyekiti mkuu,huku makamu wake akiwa ni Irene Uwoya.

Wema ni msanii ambaye amekuwa katika tasnia ya uigizaji kwa muda mrefu,ambaye ana uzoefu wa kutosha katika tasnia hiyo,ni msanii ambaye ana wapenzi wengi ndani na nje ya nchi.

Hivi karibuni amefungua kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame Film(EFF),hii ikiwa ni moja kati ya faida zake ambazo amezipata kutokana na ubora wa kazi zake na jinsi zinavyokubalika katika jamii.

Wema ni mmoja katika wasanii ambao wamepitia misukosuko ya kila aina hasa katika mapenzi"Baadhi ya watu wanasema kuwa mimi situlii na wanaume hii si kweli, labda kitu ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa mimi huwa nikipenda napenda kweli na huwa napenda kujiachia nadhani hiyo ndio sababu kubwa ambayo inanifanya nionekane hivi,mimi huwa sioni sababu ya kujificha ficha pindi ninapokuwa katika mahusiano, napenda kuwa wazi hivyo kila napokuwa katika mahusiano kila mtu anakuwa anajua nadhani labda hilo ndio tatizo"

Wema anasadikiwa kutoka na wasanii kadhaa akiwemo Khaleed Mohammed' TID',Kheri Sameer Mr blue,Marehemu Steven Kanumba,Chalz baba,Naseeb Abdul' Diamond' japo mara kadhaa amekuwa anakanusha na kudai sikweli kwamba kila anaetajwa ametembea nae,wengine huwa ni marafiki tu.
 
WEMA anajidai kutolea watu baki dhamana ya more than ten million wakati mama yake analalamika kuwa mzee wake wema amefariki kwa kukosa matibabu makini. Hizo pesa si zingetosha kumpeleka baba yake hospitali nzuri akatibiwe?
 
WEMA anajidai kutolea watu baki dhamana ya more than ten million wakati mama yake analalamika kuwa mzee wake wema amefariki kwa kukosa matibabu makini. Hizo pesa si zingetosha kumpeleka baba yake hospitali nzuri akatibiwe?

acha kurupoka we ujui ulisemalo una chuki binafsi wema alishiriki kwa asilimia zote kumuuguza baba yake ata mama wema alisema ilo.

usiseme kitu usichokijua
 
Kwa TID ni kawaida yake!
Yeye huwa anayatupa maneno hata hajuagi kuchuja!
Ila pia kwa clouds sioni ajabu!
Team ile ile viwanja tofauti
 
Clouds namm wale wale tu. Kuna siku duly alsema hawezi akahojiwa na mashoga,na ile kitu iliruka hewani. Tid ,chd benz. Ngassa na gk ni kati ya mastaa ambao hawajui kuongea kwa media
 
Msanii ni KIOO CHA JAMII AU ....................?
 
hapa mkilaumu Clouds mtaionea maana jamaa kapewa Mike akaruka laivu na huwezi soma ubongoni atasema nn?
 
Tid fool na ya rediooo ya wahuniii! ti ti ti ti ti tiiii titi!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
clouds ni moja ya vituo visivyo fata Mct-codes for ethics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…