666 chata JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,700 Reaction score 3,921 Nov 4, 2013 #41 WaKijita said: ile ni redio ya wahuni watangazaji wake wote wanaropoka maneno ya hovyo wakiongozwa na kipind cha jahaz, pb, xxl leo tena wajinga sana hasa kibonde, mchomvu na wengine wengi ctawataja mnajijua, redio huwezi kusikiliza ukiwa na wazazi Click to expand... ndugu umenisaidia nlitaka kusema hivi hivi! wachache hapa nchini ndo tuna ujinga wa clouds na unyonyaji wao..
WaKijita said: ile ni redio ya wahuni watangazaji wake wote wanaropoka maneno ya hovyo wakiongozwa na kipind cha jahaz, pb, xxl leo tena wajinga sana hasa kibonde, mchomvu na wengine wengi ctawataja mnajijua, redio huwezi kusikiliza ukiwa na wazazi Click to expand... ndugu umenisaidia nlitaka kusema hivi hivi! wachache hapa nchini ndo tuna ujinga wa clouds na unyonyaji wao..