666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,700
- 3,921
ile ni redio ya wahuni watangazaji wake wote wanaropoka maneno ya hovyo wakiongozwa na kipind cha jahaz, pb, xxl leo tena wajinga sana hasa kibonde, mchomvu na wengine wengi ctawataja mnajijua, redio huwezi kusikiliza ukiwa na wazazi
ndugu umenisaidia nlitaka kusema hivi hivi! wachache hapa nchini ndo tuna ujinga wa clouds na unyonyaji wao..