TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down

 
Milioni 500 haahaaa you can't be serious.!! Hivi kesi ya Paul James na Efm ilipotelea wapi?maana tusha choka na story za kesi zenu zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kwanza ili aende kudai haki anayo sema ni haki ahakikishe wimbo wake ulisajiliwa basata kipindi unatoka na unaonesha ni wake ...napia ahakikishe hiyo million miatano inaendana na madai yeke.

Lakini ambacho naweza sema Sidhani kama hapa kuna case lakini nahisi kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa maana najiuliza alikuwa wapi?
Halafu huo ni mkataba au article? hiyo article imeandikwa na CLOUDS fM au ni mwandishi tuu alikosea?
Nilitegemea kuona makosa ya Clouds Fm hadi sasa siyaoni..najiuliza kama Clouds FM hawakuwa na haki ya kupata malipo ilikuwaje wakalipwa na siku zote T.I.D alikaa kimya?
T.I.D aseme ni wapi Clouds wamekosea na aweke contract ili watu waone jinsi makubaliano yalivyo kiukwa....
 
Nakubaliana na ww....inavyoonekana ni makosa ya mwandishi....sasa mwandishi anapaswa kusema ni wapi aliitoa hyo information
 
HAHA .. HII NI JOKE MKUU.. HUMJUI T.I.D..HAPO ANAFANYA JOKES KUTOKANA NA MWANDISHI KUKOSEA.. Hivi unadhani TID akizinguana na clouds atakwenda wapi????
 
Hivi AY na FA kesi yao na Tigo inaendeleaje wakuu?
[emoji45] [emoji45] juzi nimemkuta sehemu anasukuma mkoko mzito sana tu vogue ya 2014.nikajiuliza au labda ndio ule mtonyo alilamba kweli[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji45] [emoji45] juzi nimemkuta sehemu anasukuma mkoko mzito sana tu vogue ya 2014.nikajiuliza au labda ndio ule mtonyo alilamba kweli[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Huo mbona anao muda sana, hii kesi ni moja ya kesi legitimate sema tu jamaa walitaka kiasi kikubwa.

Nadhani Tigo watanegotiate kupunguza ila kesi ni mbaya kwao.
 
Huo mbona anao muda sana, hii kesi ni moja ya kesi legitimate sema tu jamaa walitaka kiasi kikubwa.

Nadhani Tigo watanegotiate kupunguza ila kesi ni mbaya kwao.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duh basi hongera yake, maana kibongo bongo kuna wenzie tungeishajua ile sio gari ya mchezo mchezo.

Hata mimi pia niliwaza lazima watashinda ila sio kwa kulipwa mrungula ule nadhani mambo yapo vizuri upande wao mpaka sasa.
 
TID ni sawa na mchezaji anaejiangusha golini ili apate penalty!, anachotakiwa kufanya ni kujibidisha aache Kunaga majani li arudi kwenye gakme na kuacha kutegemea zawadi ya goli la mkono! Nimuonavyo ndo kesha karibia saa kumi na mbili na nusu,
 

Watashinda, ila siyo kwa kiasi kile. Ila bil 1 na kuendelea wanaweza kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…