TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

Ukisoma hiyo picha vizuri chini pameandikwa "...by courtesy of Ruge Mutahaba". Mwandishi kashajivua tayari hapo, TID anaweza kusimamisha kesi
 
Hivi alishindwa kwenda mahakama moja kwa moja zaidi ya kuja kulia lia kwenye mitandao?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duh basi hongera yake, maana kibongo bongo kuna wenzie tungeishajua ile sio gari ya mchezo mchezo.

Hata mimi pia niliwaza lazima watashinda ila sio kwa kulipwa mrungula ule nadhani mambo yapo vizuri upande wao mpaka sasa.
Sisi tuliopo kwenye huu mfumo wa muziki,tunajua siku nyingi hadi kwenye mitandao yake huwa anauonyesha,kilichopo ni kuwa habari zake sio za kuuza magazeti ndio maana hujui.
 
Ule wimbo million 500 mnyama hachana na mjani umeshapotea unaanzisha ligi n.a. Luge si tutakusahau kabisa ww
 
T.I.D kumbe anavuta unga hii habari ni ya muda mrefu alikua wapi siku zote....siwapendi clouds ila kwa hili mzee mnyama anatafuta kiki...na kweli kaipata
 
Hakuna kitu kibaya kama bangi TID kuvuta bangi kunamvuruga sana.
 
Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down

9da0adf9111e972b13df56bd9f8a94b0.jpg
Kiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.
Alijaribu kutoka kwa kumdhalilisha wema,wema akajibu vibaya mzee kanywea.
Hiyo article haikuandikwa na Ruge wala makampuni yake.
Halafu duniani hakuna studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio,ni bange tu ukichanganya na unga na whisky zinaweza kumfanya mtu akafikiria na kutoa povu kama alivyofanya TID
Zama za TID zimepita,aliipata nafasi kaichezea haiwezi kurudi tena
Hiyo kesi haitachukua hata dakika 10 baada ya kusomwa itaanguka
 
Ukisoma hiyo picha vizuri chini pameandikwa "...by courtesy of Ruge Mutahaba". Mwandishi kashajivua tayari hapo, TID anaweza kusimamisha kesi
Mwandishi angeandika by courtesy of Cienfegos,ungekubali mahakamani?
 
Mwandishi angeandika by courtesy of Cienfegos,ungekubali mahakamani?
Tuwe tunatumia vichwa vyetu kufikiria. Unahisi mwandishi ameandika "...by courtesy of Ruge Mutahaba" kwa kujitakia au kwa kuwa huo ndio ukweli? Kesi ya namna hii mwandishi ni shahidi, na ngoja tuone itakuwaje
 
Mwandishi angeandika by courtesy of Cienfegos,ungekubali mahakamani?
Na zaidi, kukusaidia tu, mahakamani si kila anayeshtakiwa huwa anaplead guilty, wengi huwa wanakataa, ika mwishowe verdict ndio inayoongea. So si swala la Ruge & Clouds Media Group kukubali au kukataa, ni swala la ushahidi wa kuwatia hatiani kuwepo. Full stop! Mwenye macho haambiwu tazama, mwenye ubongo...
 
Ruge hana studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio
 
Kiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.
Alijaribu kutoka kwa kumdhalilisha wema,wema akajibu vibaya mzee kanywea.
Hiyo article haikuandikwa na Ruge wala makampuni yake.
Halafu duniani hakuna studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio,ni bange tu ukichanganya na unga na whisky zinaweza kumfanya mtu akafikiria na kutoa povu kama alivyofanya TID
Zama za TID zimepita,aliipata nafasi kaichezea haiwezi kurudi tena
Hiyo kesi haitachukua hata dakika 10 baada ya kusomwa itaanguka
aiseeeeee
 
hahaaa mwandish uchwara alieko harare kalizua la kulizua kutokana na lack of knowlegde ya music wa bongo kwa kwa kwa kwaaaaaaaa
 
Ruge hana studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio
Which proves even more kuwa kuna kesi (tena hata zaidi ya moja) maana akisema kaproduce hiyo nyimbo kwa Studio ambayo ni non-existent basi amedanganya
 
Adui wa TID ni Madawa ya kulevya na Bangi sio Clouds FM
 
Naona Mangi nae kamsaidia kuwatolea povu clouds na kuwapaka wanamusic wote wa bongo kwamba ni wapumbavu , hawawezi kuishi bila clouds wakati wanauwezo wakiungana wakagoma nyimbo zao kupigwa clouds wala msanii yoyote kuhojiwa clouds , anaamini clouds wangenyooka
 
Back
Top Bottom