TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

Which proves even more kuwa kuna kesi (tena hata zaidi ya moja) maana akisema kaproduce hiyo nyimbo kwa Studio ambayo ni non-existent basi amedanganya
Huyu mwandishi atakuwa ametafsiri mawingu studio nadhani ilikuwa chini ya bony love ndiyo kaiita clouds studio.
 
Hehehe 500Million, pesa ambayo hajawahi shika.
 
Alikuwa wapi huyu nae siku zote hizo it's too late brother TID
 
Kwanza ili aende kudai haki anayo sema ni haki ahakikishe wimbo wake ulisajiliwa basata kipindi unatoka na unaonesha ni wake ...napia ahakikishe hiyo million miatano inaendana na madai yeke.

Lakini ambacho naweza sema Sidhani kama hapa kuna case lakini nahisi kuna mtu kaanza kuchanganyikiwa maana najiuliza alikuwa wapi?
Halafu huo ni mkataba au article? hiyo article imeandikwa na CLOUDS fM au ni mwandishi tuu alikosea?
Nilitegemea kuona makosa ya Clouds Fm hadi sasa siyaoni..najiuliza kama Clouds FM hawakuwa na haki ya kupata malipo ilikuwaje wakalipwa na siku zote T.I.D alikaa kimya?
T.I.D aseme ni wapi Clouds wamekosea na aweke contract ili watu waone jinsi makubaliano yalivyo kiukwa....
Exactly!
 
Kiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.
Alijaribu kutoka kwa kumdhalilisha wema,wema akajibu vibaya mzee kanywea.
Hiyo article haikuandikwa na Ruge wala makampuni yake.
Halafu duniani hakuna studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio,ni bange tu ukichanganya na unga na whisky zinaweza kumfanya mtu akafikiria na kutoa povu kama alivyofanya TID
Zama za TID zimepita,aliipata nafasi kaichezea haiwezi kurudi tena
Hiyo kesi haitachukua hata dakika 10 baada ya kusomwa itaanguka

Chuki zako kwa Kiba zingekuwa ni tobo, hakika leo Ali Kiba angelionekana kama wavu au chekecheke.
 
Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down

9da0adf9111e972b13df56bd9f8a94b0.jpg
Bange...
 
Chakula cha nyoka kinampoteza legend wetu mnyama tid maskini tafuta lawyer akushaur vizur usikurupuke
 
Kiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.
Alijaribu kutoka kwa kumdhalilisha wema,wema akajibu vibaya mzee kanywea.
Hiyo article haikuandikwa na Ruge wala makampuni yake.
Halafu duniani hakuna studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio,ni bange tu ukichanganya na unga na whisky zinaweza kumfanya mtu akafikiria na kutoa povu kama alivyofanya TID
Zama za TID zimepita,aliipata nafasi kaichezea haiwezi kurudi tena
Hiyo kesi haitachukua hata dakika 10 baada ya kusomwa itaanguka
Kiba?
 
Back
Top Bottom