Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down