Cienfuegos
Member
- Jun 29, 2016
- 56
- 57
Bado ni neema sana tu.
Sisi tuliopo kwenye huu mfumo wa muziki,tunajua siku nyingi hadi kwenye mitandao yake huwa anauonyesha,kilichopo ni kuwa habari zake sio za kuuza magazeti ndio maana hujui.[emoji15] [emoji15] [emoji15] duh basi hongera yake, maana kibongo bongo kuna wenzie tungeishajua ile sio gari ya mchezo mchezo.
Hata mimi pia niliwaza lazima watashinda ila sio kwa kulipwa mrungula ule nadhani mambo yapo vizuri upande wao mpaka sasa.
Kiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.Kupitia account yake ya insta mnyama, TID, Warioba, Mzee Kigogo amewajia juu clouds fm baada ya kudai wao ndo walio produce wimbo wa zeze na inasemekana walikuwa wanapokea ela za mauzo ya nyimbo iyo husika
Povu la TID [emoji116]
HII NI DHULUMA YA WAZI WAZI HUU WIMBO UMEFANYIKA KWELI CLOUDS MALIPO YOTE YAMELIPWA CLOUDS....BRAZA RUGE NAOMBA HELA ZANGU hivi Clouds FM mshawahi Kutenengeneza Zeze Song. .!? I WANT MY MONEY SHOW ME CONTRACT naomba Hakuna Yangu Sikuogopi I want Clouds FM kwa Kudanganya hivi wanilipe Milioni Mia Tano ....Ushapata Pesa Nyingi Sana Hauna Haja ya kuendelea,My Legal Team is Ready to Bring this Fake Institution Down
Mwandishi angeandika by courtesy of Cienfegos,ungekubali mahakamani?Ukisoma hiyo picha vizuri chini pameandikwa "...by courtesy of Ruge Mutahaba". Mwandishi kashajivua tayari hapo, TID anaweza kusimamisha kesi
Tuwe tunatumia vichwa vyetu kufikiria. Unahisi mwandishi ameandika "...by courtesy of Ruge Mutahaba" kwa kujitakia au kwa kuwa huo ndio ukweli? Kesi ya namna hii mwandishi ni shahidi, na ngoja tuone itakuwajeMwandishi angeandika by courtesy of Cienfegos,ungekubali mahakamani?
Na zaidi, kukusaidia tu, mahakamani si kila anayeshtakiwa huwa anaplead guilty, wengi huwa wanakataa, ika mwishowe verdict ndio inayoongea. So si swala la Ruge & Clouds Media Group kukubali au kukataa, ni swala la ushahidi wa kuwatia hatiani kuwepo. Full stop! Mwenye macho haambiwu tazama, mwenye ubongo...Mwandishi angeandika by courtesy of Cienfegos,ungekubali mahakamani?
Ruge hana studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studioNa zaidi, kukusaidia tu, mahakamani si kila anayeshtakiwa huwa anaplead guilty, wengi huwa wanakataa, ika mwishowe verdict ndio inayoongea. So si swala la Ruge & Clouds Media Group kukubali au kukataa, ni swala la ushahidi wa kuwatia hatiani kuwepo. Full stop! Mwenye macho haambiwu tazama, mwenye ubongo...
aiseeeeeeKiba anatafuta pa kutokea afufue nyota.
Alijaribu kutoka kwa kumdhalilisha wema,wema akajibu vibaya mzee kanywea.
Hiyo article haikuandikwa na Ruge wala makampuni yake.
Halafu duniani hakuna studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio,ni bange tu ukichanganya na unga na whisky zinaweza kumfanya mtu akafikiria na kutoa povu kama alivyofanya TID
Zama za TID zimepita,aliipata nafasi kaichezea haiwezi kurudi tena
Hiyo kesi haitachukua hata dakika 10 baada ya kusomwa itaanguka
Ha ha haaiseeeeee
Which proves even more kuwa kuna kesi (tena hata zaidi ya moja) maana akisema kaproduce hiyo nyimbo kwa Studio ambayo ni non-existent basi amedanganyaRuge hana studio ya kurekodi muziki inayoitwa clouds fm studio