TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

Pombe mbaya..
 
Duh!
 
Hivi kusaga hua anarukaje vihunzi, kesi zote hua ni kwa ruge tu.
 
tatizo la wasanii wa bongo sio wamoja halafu wanaunafiki na kujipendekeza pendekeza
 
Baadhi ya media hapa Tz kukitokea mgogoro na msanii basi nyimbo za msanii hazichezwi tena kwenye hiyo media.
 
Hivi kusaga hua anarukaje vihunzi, kesi zote hua ni kwa ruge tu.
Yeye ni mmiliki wa hiyo media but sio muendeshaji, sikuzote basi likipata ajali macho yote kwa dereva na sio mmiliki
 
Hiyo inaitwa ZE NDINDI NDI SHOW....Clouds Fm watoto wa LADY JAY DEE KOMANDO...halafu wamemkataa mamaa....haya sasa mlidhani huyu nae ni mdada mumuhujumu kama Jide??...komaen na noma yenu hiyo...
 
kisheria amepoteza!mtu kaachiliwa huru kwa kumtusi JPM,katafutwa mtu mwenye jina la JPM dunia nzima hakupatikana

Mkuu hapo TID anayo sababu ya kulalamika sababu ni jasho lake kuna watu wanafaidi, hapo kilichomshangaza ni kwamba Clouds fm wameonekana kwenye cover kama copyright holder tena hilo sio gazeti nio Cd inapatikana mpka amazon inaitwa Global Soul : Soul And R&B From Around The World link hii hapa Amazon product ASIN B00007G789
 
Ni pirated cd hiyo,clouds hawawezi kufanya kosa la kitoto hivyo
 
Nasikiliza kipindi cha njia panda saivi clouds fm naona wameshaanza figisu kwa RUBY maana wanapiga wimbo wa maombolezo wa goodnight alioimba Ruby lakini sauti yake wameikata / kuiwekea mwangwi wanasikika waitikiaji tu.....Mungu anawaona clouds
 
Milioni 500 haahaaa you can't be serious.!! Hivi kesi ya Paul James na Efm ilipotelea wapi?maana tusha choka na story za kesi zenu zisizo na kichwa wala miguu.
Bila kusahau MwanaFA & AY na tigo
 
Wewe ndio ufanye utafiti,msaidieni basi TID awahi mahakamani jamani

Hahahahah mkuu Ruge ndugu yako nini au Unafanya Kazi Clouds? Kwenda Mahakamani sio Kazi Rahisi kwa Walala hoi kama Mnyama Maana kesi ya madai inaweza kuchukua zaidi ya miaka minne, Hapo pia kuna gharama za mawakili na kuendesha kesi, Tatizo wasanii wengi wanaingia mikataba bila kujua. Refer issue ya Saida karoli. Mkuu duniani kufanikiwa ni akili yako tu maana wajinga wengi
 
Asante mkuu kwa kulijibu hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…