TID kuwaburuza Clouds Fm mahakamani

Tuwe tunatumia vichwa vyetu kufikiria. Unahisi mwandishi ameandika "...by courtesy of Ruge Mutahaba" kwa kujitakia au kwa kuwa huo ndio ukweli? Kesi ya namna hii mwandishi ni shahidi, na ngoja tuone itakuwaje
Picha ndio by courtesy of ruge mutahaba na sio content
 
Sawa Braza Ruge kwa kulijibu hili
This is name calling. Na kwa sheria za Jf ni kinyume na sheria kufanya hivi na adhabu yake haipungui kifungo cha siku 30. Sito kureport lakini nakukumbusha kuwa unaenda kinyume na sheria za jukwaa.
Uhitaji kuwa huyo uliyomtaja kuyafahamu hayo.
 
Picha ndio by courtesy of ruge mutahaba na sio content
Sioni sehemu wameandika "Picture by Courtesy of Ruge Mutahaba". We una page yote kamili ya hiyo magazine mkuu? Otherwise hatuwezi kuconclude kuwa kilichoandikwa hapo ni "Picture by courtesy of Ruge Mutahaba". Inaweza kuwa habari yote pia, na si picha
 
This is name calling. Na kwa sheria za Jf ni kinyume na sheria kufanya hivi na adhabu yake haipungui kifungo cha siku 30. Sito kureport lakini nakukumbusha kuwa unaenda kinyume na sheria za jukwaa.
Uhitaji kuwa huyo uliyomtaja kuyafahamu
 
Matumizi ya madawa ya kulevya yanamuathiri ubongo..alikuwa wapi siku zote
 
Nakubaliana na wewe, inawezakana the writer ndie ndie alikosea kwenye andiko Lake kwamba clouds ndio producer wa hilo songi.
This issue needs proper legal approach la sivyo inaweza kula kwake, is there anywhere clouds walijipambanua kwamba they are the producer of the said hit track.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…