TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

Washachelewa na washapigwa wavumilie tu. Alitakiwe ashtuke kipindi kile yupo ktk peak, sasa hivi kashachelewa na hawa jamaa ukiwa ktk peak wanakunyenga nyenga na promo zao, ili upige show za bure ukija shtuka tayari tena, giza lishaingia. Ndio hivyo apambane na hali yake.Ila chipukizi wajifunze kupitia yy na wafute mawazo ya kwamba cloudsfm ndio kila kitu, wawekeze ktk social network.
 
Nikadhani hilo naliona peke yangu
Jamaa anaonekana yuko under drug influence
Ha haha haha ...sijaangalia hiyo clip ..but najaribu Ku imagine jinsi ambavyo Jamaa anavyo ongeaga kwa mapose aisee""...
 
Haha haha kumbe interview alikuwa anafanyiwa na wasafi "" sasa jibu si rahis tu "" kuwa maadui wawili wameungana ili kupambana na jambazi kuu ruge ""...
 
kulia lia huyo ndio kawaida Yke "" nakumbuka kuna mwaka alitoaga shit kuhusu clouds hivyo hivyo "" baadae wakamuita na kumpa kidogo kitu ...basi akapanda kwenye jukwaa la fiesta " alisahau lawama zote na ubaya aliokuwa anasema kwamba wamemfanyia....
 
Reactions: 7ve
kawasaidia kuwapigia ngoma zake..but kawanyonya sana
Wakabwie unga huko af waje waseme
Wamenyonywa mbn kina kiba,ay,fa,
Huskii wakilalama kama hao wabwia
Unga
 
Ha haha hahaha haha true
 
haujawahi " kuniangusha ""
 
hahahaha imebidi nicheke tuu maana huyu jamaa dish limeyumba mazima....yani wasanii wanapenda sana kumsingizia Ruge...
 
Probably what he say is true,recently we have observed a number of music artist dying of things like being frustrated..
 
Kwanini watu wasipofanya bidii na huyu kwa kupitia maunga etc.. wanapenda kuwasingizia Clouds?
Hivi kwani wanabeba akili au miili yao na kuiburuza huku na kule?
Nashangaaa
Wapuuz hao wakipiigika tu wanawasukumia lawama wakina ruge hata kama wananyonywa lkn siyo wa %100 wasanii tu Hawana nidhamu ya kutunza fedha, wanafikiri Maisha ni yale yale

Ova
 
Pombe,wanawake,kumbi za starehe ndio maisha yao ya kila siku wakipigika wanaanza kumtafuta mchawi.
 
Hivi katika magirl friends wake wote anamkumbuka Wema Sepetu tu?
 
Reactions: 7ve
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…