joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Washachelewa na washapigwa wavumilie tu. Alitakiwe ashtuke kipindi kile yupo ktk peak, sasa hivi kashachelewa na hawa jamaa ukiwa ktk peak wanakunyenga nyenga na promo zao, ili upige show za bure ukija shtuka tayari tena, giza lishaingia. Ndio hivyo apambane na hali yake.Ila chipukizi wajifunze kupitia yy na wafute mawazo ya kwamba cloudsfm ndio kila kitu, wawekeze ktk social network.