TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

NIWE NA WIVU NA WEWE MUUZAJI

Si unaona sasa..
Nimekunoti kila uzi upo unaniandikia upupwu.. pmbana na khali yako aiseee kwa Coco hapa utaishi kuzidi kujipiga vibao vya usoni na kulia ka..
 
Tena nakumbuka kipindi kile TID alifungwa, nikasikitika sana ambavyo Ruge hakujali hata hadhi aliyokuwa nayo TID.

Ruge ni mbaya sana.
 
Tena nakumbuka kipindi kile TID alifungwa, nikasikitika sana ambavyo Ruge hakujali hata hadhi aliyokuwa nayo TID.

Ruge ni mbaya sana.
Ruge alihusikaje na kufungwa kwa TID?
 
Kwa kweli sijawahi kuona mwanamuziki yeyote wa bongo fleva wenye talent ukimwondoa Barnaba, Amin, Banana, Lady Jay Dee. Eti mwanamuziki unatembea na CD kwenye begi as band yako.
 
Hapo kwenye legend umezingua....

Lakini Una point mahaali...
 
Duh uliona jina la Cocochanel huko.. lini? Aiseeeee

Endelea kuota kwamba mimi wa huko..
Cocochanel kila mtu anajua wewe ni mpiga deal buku 7 wa Lumumba.Au umeanza kuwakaña maboss wako Jiwe na Bashite?
 
Niliwahi kuona interview ya Diamond kipindi wamevurugana na waziri wa sanaa, na hii ya TID kwa utu uzima wangu huu hawa watu wawili wamezaliwa "gifted" , hawa jamaa ni zaidi ya wanasanaa. Maongezi yao kama vile wamejiandaa kwa miezi kadhaa. Pamoja na kuwa na elimu ya kawaida sana ila upeo wao wa kujieleza ni zaidi ya graduate kutoka vyuo vinavyoogopwa hapa nchini.

Mziki ninaoupenda mimi ni wa hawa akina Juwata, Ottu nk. hapa naongelea upeo wa wasanii tu!
 
Cocochanel kila mtu anajua wewe ni mpiga deal buku 7 wa Lumumba.Au umeanza kuwakaña maboss wako Jiwe na Bashite?

Ha ha haaaaaaa
Si uwaulize hao wa Lumumba kama natokea huko..

Mimi mdau wa JF naamua kuandika nitakacho na pia kumshabikia nitakaye..

Sina chama.. subiri kuna mbunge wa Chadema ameniomba nijiunge humu etiii.. eeeh nimpigie debe ya uongozi wake.. hajui nimeshatua tayari mwaka wa 11 sasa.. amependa tu hoja zangu na msimamo nikiamua..
 


Mi huwa najiuliza siku zote,hivi hapa Tanzania redio ni mawingu tu?

Hakuna redio zingine zinazoweza kupiga na kusapoti mziki wao?
 
Naona mtu hata fridge yake ikisa sasa ruge ndio shida, huyu mtu siyo mkubwa kama mnavyosema
 
Au umestaafu hiyo kazi ya ukuda Cocochanel,safi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…