cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Huko Lumumba huko kwenye ajira yako ya buku7!
Duh uliona jina la Cocochanel huko.. lini? Aiseeeee
Endelea kuota kwamba mimi wa huko..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Lumumba huko kwenye ajira yako ya buku7!
alafu we dada una usee sana wewe..UkueDuh uliona jina la Cocochanel huko.. lini? Aiseeeee
Endelea kuota kwamba mimi wa huko..
al
alafu we dada una usee sana wewe..Ukue
Zeeka kwanza wewe na usee wako weye..
Eeeeh
Wivu.com
NIWE NA WIVU NA WEWE MUUZAJI
Ruge alihusikaje na kufungwa kwa TID?Tena nakumbuka kipindi kile TID alifungwa, nikasikitika sana ambavyo Ruge hakujali hata hadhi aliyokuwa nayo TID.
Ruge ni mbaya sana.
Cocochanel kila mtu anajua wewe ni mpiga deal buku 7 wa Lumumba.Au umeanza kuwakaña maboss wako Jiwe na Bashite?Duh uliona jina la Cocochanel huko.. lini? Aiseeeee
Endelea kuota kwamba mimi wa huko..
sidhaniHivi huyu ruge hana jema hata moja alowatendea hawa wasanii!!!
Cocochanel kila mtu anajua wewe ni mpiga deal buku 7 wa Lumumba.Au umeanza kuwakaña maboss wako Jiwe na Bashite?
Aha tumechoka na kulia lia kwa wasanii kuhusu mawingu mtu akichoka tu ata lalamikia mawingu mbona wakati wana shine wao tulikuwa hatusikii wasanii wengine wakilalamika tena radio zilikuwa chache tu sembuse Leo kila mkoa una radio zaidi ya mbili na kila aina ya mitandao ya kijamii .hawa jamaa wakubali tu game imekuwa tafu cozi hata wasanii na wenyewe wamekuwa wengi kila siku zinatoka nyimbo mpya.kila kitu na wakati wake,Muda ni mwalimu mzuri sana.
Au umestaafu hiyo kazi ya ukuda Cocochanel,safi sana!Ha ha haaaaaaa
Si uwaulize hao wa Lumumba kama natokea huko..
Mimi mdau wa JF naamua kuandika nitakacho na pia kumshabikia nitakaye..
Sina chama.. subiri kuna mbunge wa Chadema ameniomba nijiunge humu etiii.. eeeh nimpigie debe ya uongozi wake.. hajui nimeshatua tayari mwaka wa 11 sasa.. amependa tu hoja zangu na msimamo nikiamua..
Ruge change bro..Karma inakuja
Binafsi nauunga mkono hoja ya TID mnyama wa Kinondoni..