johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwanamuziki wa kizazi kipya TID maarufu kama ' mnyama' amesema panapo uhai mwaka 2020 atagombea ubunge katika jimbo la Kigamboni kupitia chama chake cha sasa CCM. Source EATV habari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tid atakuona wewe ndio " mjinga" unayemshangaa yeye na kumshangilia Sugu!Acha kufananisha ubunge na mambo ya kijinga
Jimbo halina hati miliki!Ndungulile amekuwaje?
Mbona bro umenivalisha uhusika pori?Tid atakuona wewe ndio " mjinga" unayemshangaa yeye na kumshangilia Sugu!