TID ( Mnyama ) kugombea Ubunge Kigamboni kupitia CCM 2020!

TID ( Mnyama ) kugombea Ubunge Kigamboni kupitia CCM 2020!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwanamuziki wa kizazi kipya TID maarufu kama ' mnyama' amesema panapo uhai mwaka 2020 atagombea ubunge katika jimbo la Kigamboni kupitia chama chake cha sasa CCM. Source EATV habari!
 
Atawakilisha wala unga, ikumbukwe tayari wavuta bangi wamo mle ndani (kwa mujibu wa spika ndugai)
 
Kwa lile lichama lao lenye watuwasiojulikana tabia zao wala huwezi shangaaa akipeta..
 
Kwa lile lichama lao lenye watuwasiojulikana tabia zao wala huwezi shangaaa akipeta..
 
Back
Top Bottom