TID ni aina ya watu ambao kwenye jamii inapaswa tuwe nao makini sana

Daah Naseeb kazingua sanaa kwenye ile list yake, watoto wanuka mavi kawajaza kibao kwenye hiyo train, Mungu asaidie isipinduke tu maana naona kabisa kuna kutifuana kabisa ndani humo.
 
Du...kwa hiyo kwa vile walianza Clouds wengine wasifanye.
Mwishowe mtasema wasipande magari kwa vile clouds walianza tour za magari wa kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo clouds kusafiri na precision air kwenye tour za fiesta 2019 waliiga wasafi festival? maana miaka yote walikua wanajazana kwenye coaster
😂😂mjini umekuja juzi nini..?? Clouds walikuwa wana safiri na precision air tangu enzi wanadhaminiwa na serengeti lager . hiyo wasafi festival siinamiaka mi3 tu tangu ianzishwe.. Kama kitu huwa hamjui muwe mnauliza tuwaambie
 
Dar kweli watu hawana ratiba!...yaani wamebebwa kama nguruwe wengine hapo hawana hata mia!!...baada ya hapo wakiambiwa tena twendeni sumbawanga bure wanaenda sijui kazi zao wanafanya saa ngapi!!
 
Dar kweli watu hawana ratiba!...yaani wamebebwa kama nguruwe wengine hapo hawana hata mia!!...baada ya hapo wakiambiwa tena twendeni sumbawanga bure wanaenda sijui kazi zao wanafanya saa ngapi!!
😂😂😂
 
Mtoto wa mjini huyu, hana team kabisa,

Lazima usome alama za nyakati,, hana mda wa kulamba watu nyayo,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du...kwa hiyo kwa vile walianza Clouds wengine wasifanye.
Mwishowe mtasema wasipande magari kwa vile clouds walianza tour za magari wa kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata umeelewa nilichokiongea Au ume kurupuka tu kunijibu kutokana na mihemko ya kiushabiki
 
Mbona safari ya walio igwa sija isikia ata iki trend kuna tatzo ule upande kwani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona safari ya walio igwa sija isikia ata iki trend kuna tatzo ule upande kwani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
So Kama umeingia mjini juzi.. Baada ya kutoka kwenu iIeje.. Hiyo safari ungeisikia vipi... Wakati ulikuwa unaishi sehemu ambayo network ikipatikana mnakusanyika kijiji kizima chini ya muembe nakupiga simu
 
Chid Benz kaenda? Maana Steji bila Chidi, Mr Blue au Ney wa Mitego haijajamilika.

Nimeona interview ya Dudu Baya kule youtube anasema bora Chid Benz hakwenda maana angeibia watu simu kwenye treni. Yaani haya mambo mengine ni burudani kuliko hata huo mziki wao.
 
So Kama umeingia mjini juzi.. Baada ya kutoka kwenu iIeje.. Hiyo safari ungeisikia vipi... Wakati ulikuwa unaishi sehemu ambayo network ikipatikana mnakusanyika kijiji kizima chini ya muembe nakupiga simu
Studio ya sasa hiv ya clouds wameiga wasafi mbona hatuongei.Me nipo dar ninaishi kimara na pia nipo kwenye kwenye insta na Facebook na nimfatiliaji mzuri wa entertainment sijawahi kusikia Hiyo treni inayopandwa na clouds hao clouds Kama unawavika umungu wavike wewemwenyewe ila usitulazimishe wengine.
 
Hiyo studio ya Clouds Kusaga aliionyeshwa mbona kitambo tu kabla ya Wasafi kuonyesha ya kwao kwa kuruka live??!!..ilikuwa kwenye miaka 19 ya Clouds..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…