TID ni aina ya watu ambao kwenye jamii inapaswa tuwe nao makini sana

Clouds ni taasisi ya habari(media house) Diamond ni msanii, si sahihi kuwalinganisha.

Diamond alinganishwe na wasanii wenzake tena kuhusu kazi zao za sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo studio ya Clouds Kusaga aliionyeshwa mbona kitambo tu kabla ya Wasafi kuonyesha ya kwao kwa kuruka live??!!..ilikuwa kwenye miaka 19 ya Clouds..
Acha uongo usitundangaje dunia ya sasa IPO wazi tunaona kila kitu.
 
Itakuwa unatumia tecno pop1 haioneshi picha au ukigoogle picha ya gari inakuletea picha ya punda,
 
Acha uongo usitundangaje dunia ya sasa IPO wazi tunaona kila kitu.
Wewe kijana tunakujua ni kilaza sana humu JF..mimi naongea fact wewe unaleta ujinga ujinga wako..Nenda Youtube usearch studio mpya za Clouds uone hiyo video ilipandishwa lini na uje na hiyo tarehe ya studio za wasafi ilipokuwa revailed??
 
Na wewe ni kama TID tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So Kama umeingia mjini juzi.. Baada ya kutoka kwenu iIeje.. Hiyo safari ungeisikia vipi... Wakati ulikuwa unaishi sehemu ambayo network ikipatikana mnakusanyika kijiji kizima chini ya muembe nakupiga simu
Kaka Mungu anakuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
TID anadeal na trends. No agenda, no hard feelings. Si unaona zimemrudisha kwenye game?

Tasnia ya burudani iko matured sana. Msanii anaweza kuwa relevant kwa drama na lifestyle tu sio lazima afanye ngoma kali. Ndio upepo wa TID ulivyo kwa sasa.

Angalia hata AKA zake siku hizi; Mzee Kigogo, Warioba, Mnyama, Powerbank, Mzee wa Kokoto na mengine.

He mastered it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar kweli watu hawana ratiba!...yaani wamebebwa kama nguruwe wengine hapo hawana hata mia!!...baada ya hapo wakiambiwa tena twendeni sumbawanga bure wanaenda sijui kazi zao wanafanya saa ngapi!!
Kama mtu hakuombi pesa ya kula unasemaje hana kazi, pia hujui hii ni Holiday muda ambao wenzio wanawekeza wewe unacheza wanapotumia unalia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajitia aibu umri wako itakuwa bado mdogo km ulikuwa umepevuka ungejua kuwa clouds waliishafanya shoo Kwenye treni muda mrefu sana.
Pia waliwahi kutaka kufanya Kwenye boti/meli lkn nadhani waligomewa na serikali sababu za kiusalama sikumbuki km walifanya tena.
Ulikuwepo wakati huo clouds wanafanya concert kwa shule za secondary pale empire theatre enzi hizo? Nadhani ilikuwa 93-96 miaka hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…