Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Kitu kilichomchelewesha TId ni pamoja na masihara mengi na kutokuwa serious na kazi...Na hili la unga kwa sasa ndo linammaliza kabisaHuyu dogo TID angefika mbali sana sijui laana hii ya ngada kaitoa wapi!namfahamu tangu akisoma Shaaban Robert pale karibu na Diamond.
Katika Music artists wa Bongo yeye ndio mwenye kiwango cha juu katika kujieleza katika vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC,Channel O nk