TID ni hatari sana!

TID ni hatari sana!

msauti wa kukwaruza na wala hana pumzi. zeze aliimba utadhani anaongea.
Napenda kuwa na girlfriend mwenye kucha za. ..... TID mkali sanaaa, sio zeze bali zote alizoweka sauti yake ni tamu
 
Napenda kuwa na girlfriend mwenye kucha za. ..... TID mkali sanaaa, sio zeze bali zote alizoweka sauti yake ni tamu
zote aliimba kama anaongea. sema ni wanamziki wa mwanzo mwanzo ndiyo inafanyamumkubali hivyo.
 
zote aliimba kama anaongea. sema ni wanamziki wa mwanzo mwanzo ndiyo inafanyamumkubali hivyo.
Hiyo style yake unayosema anaongea ongea ndo nnayoipenda.
By the way sikuhizi sio mpenzi wa miziki hii tena japo kuna wachache wanaonigusa.
 
Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
Man you've said it all. Machozi yamenitoka kutokana na hii comment yako ndugu. Sijaona msanii aliyekuwa talented katika live performance mpaka kuognga copy za Mbele kama TID. Sijui mini kimemkuta.dah!
 
Jamaaa anajua. Jana alifanya kweli sana kwenye FNL. Atulie kisha ajipange tena Upya kwani bado anaweza.
 
Wewe unaemponda TID unamfikia ?jamaa anajua sanaaaaa sema maunga yake na kiburi
 
Naona mmekuja kumpigia promo tu mshikaji wenu. Yes, anaweza kujieleza kwenye interview lakini the guy has no talent na sauti yake ni ya kawaida sana na nafikiri baada ya kusoma alama za nyakati akaona bora abwie unga aachane na mawazo ya kutowin.
umezaliwa lini mkuu?!!kalisikilize zeze na kuangalia ile simple choreography ambayo haina hata dem mrembo..tid anaimba kwa sauti ya juu na sauti inabaki bomba,your average today's artists wanaowhisper kama diamond kwa kuogopa akiimba kwa sauti ya juu anaweza kujamba au sauti inatibuka..
 
wacheni kumpa promo kijana mwenzenu, mnaacha kumshauri vizuri aachane na ubwiaji unga nyie mnampa kichwa kuwa yuko vizuri, toka lini TID akawa mwanamuziki? Yeye toka alipokuwa shuleni alikuwa mtu wa ngonjera tu, huyu hajuwi muziki na ndiyo maana kila mara anakuwa out of tune when singing hajajuwa namna ya kujitune vizuri ila nyie msiojuwa mnasema jamaa yuko fit, how? Mwongezeeni unga ale.
 
umezaliwa lini mkuu?!!kalisikilize zeze na kuangalia ile simple choreography ambayo haina hata dem mrembo..tid anaimba kwa sauti ya juu na sauti inabaki bomba,your average today's artists wanaowhisper kama diamond kwa kuogopa akiimba kwa sauti ya juu anaweza kujamba au sauti inatibuka..

Kiumri unaweza kuniita kaka yako...TID hana sauti ya mvuto na hana tungo zilizoenda shule. Mi nafikiri huyu jamaa alivamia fani tu kwa pupa au tu alipewa ushauri mbovu na wabwia unga wenziwe. Sasa kwa akili yako unataka kuniambia choreography ndiye inamfanya TID kuwa bora au kutokuwa na mademu wazuri kwenye video yake ndiyo chanzo cha yeye kuwa bora au? You need to grow up na utofautishe muziki na mwanamuziki....have you ever heard of the phenomenon called "One Hit Wonder?" This fits TID very well.
 
Back
Top Bottom