TID ni hatari sana!

TID ni hatari sana!

Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar

Unga unamsaidia sana TID ila kimuziki inabidi ajipange upya, fani ina wenyewe hii.
 
Samahani vijana kwa kuwaingilia.... Hivi huyu kijana ndio aliyekuwa anajiitaa mnyama ingawa hajafafanua kuwa ni mnyama gani...????
 
Mkuu Tid sio mshkaji wangu..Mi Ni shabiki tu kama shabiki wengine...Nnachoweza kukushauri..Rudi kasikilize kazi zake zote zen urudi kujenga hoja..

I don't have kusikiliza kazi za TID kwani nilishafanya hivyo miaka ya nyuma na ndiyo maana nikabaini kuwa huyu jamaa ni mwimbaji wa bafuni tu au shuleni kwani anaonekana kabisa kuwa hakupata ushauri mzuri toka kwa washikaji wake maana alivamia fani kwa pupa. Mwacheni abwie unga kwa starehe zake.
 
Huu mjadala umefanya nitamani kulia. .unga noma ila tid ni bad news. ..huyu mnyamwezi ana star look kipindi hiko hata hajatoka kimziki nakumbuka yupo o level akitokea sehem lazma utaratibu uvurugike. ..alikuwa ana swing dozen lake moja hilo dah. .akapata safari ya kwenda Birmingham alivyotoka kimziki. ..wabongo wa Birmingham walikoma maana hizo pozi the wacko jacko anasubiri
Muuza sura ahhh hahahaha umetisha,
 
mkuu unajua maana ya mapovu? najua unajua maana yake kwa lugha ya kiswahili tu sasa ebu jaribu kuangalia maana ya hilo jina kwa kihispania kwanza

Rudi shule, hakuna neon la mapovu katika lugha ya kihispania.
 
Sema jamaa kapitia mikutuo mingi, ashatumikia kifungo, ashapewa mitama na wakubwa wenzie hadharani lakini yupo tu duh. Nasikia zamani alikuwa dancer
 
Nenda kawaambie rafiki zako mtaani kwenu kuhusu mapovu maana unachojua kuhusu kihispania ni sinorita na mama cita tu

Mkuu nakubishia kwa sababu hapa kihispania na kireni kinapanda na ndiyo maana nakuambia hakuna hilo neon mapovu....unahisi unakijuwa kihispania au?
 
Mkuu nakubishia kwa sababu hapa kihispania na kireni kinapanda na ndiyo maana nakuambia hakuna hilo neon mapovu....unahisi unakijuwa kihispania au?
mkuu nimeishi puerto rico pia nikaenda Argentina inchi zote hizo wanaongea spanish na portuguesse sana
 
TID yuko vizuri basi tu miunga anayotumia,na ni mbishi hakuna!
Kila kitu anajua yeye,sasa sijui ni nani atakayeweza kumnasua huko kwenye uteja.

Na kufanya interview na huyu mtu ni shida... KILA KITU ANAKIJUA YEYE
 
mkuu nimeishi puerto rico pia nikaenda Argentina inchi zote hizo wanaongea spanish na portuguesse sana

Unaweza kuishi huko na usijuwe kuongea....kwa taarifa yako No existe palabra de "Mapovu" en espanol, umejifunza nini huko Puerto Rico au nyie ndiyo wale wabwiaji na wasambazaji mliolostika hapa nchini na kwenda kusambaza dona nchi za watu?
 
Mkuu mie nilienda kiacademics zaidi sio hayo mambo yenu ya dona....hivi hukumsikia samatta alivyokuwa anatiririka french kwa miaka michache tu aliyoishi pale lubumbash
 
Puerto Rico wanaongea Kispanish. Argentina wanaongea Kispanish pia. Hawaongei Kireno. Asili nyingi ya raia wa Argentina ni wa Italy, kwa hivyo watakuwa wanajua Kitaliano na Kispanish. Kireno hawaongei. Wanaoongea Kireno ni Brazil kwa Marekani ya kusini.

Povu kwa Kispanish/ Kireno ni "espuma".

Povu kwa Kiingereza cha mitaani ni mtu anayependa kuzurura vyuo vikuu kutafuta mtu yoyote anayetaka kulala nae.
 
Kiumri unaweza kuniita kaka yako...TID hana sauti ya mvuto na hana tungo zilizoenda shule. Mi nafikiri huyu jamaa alivamia fani tu kwa pupa au tu alipewa ushauri mbovu na wabwia unga wenziwe. Sasa kwa akili yako unataka kuniambia choreography ndiye inamfanya TID kuwa bora au kutokuwa na mademu wazuri kwenye video yake ndiyo chanzo cha yeye kuwa bora au? You need to grow up na utofautishe muziki na mwanamuziki....have you ever heard of the phenomenon called "One Hit Wonder?" This fits TID very well.
unaongea maneno mengi lakini huujui mziki,katika video ya zeze ilikubalika sauti choreography..kwa nini nimesema kwenye zeze hakuna madem its because watu wengi wanapenda especially wanaume wimbo kama number one sababu video imejaa wadada wakali..zeze tiid kaimba kigumu na ilikubalika na rika zote..ulikuwa hujazaliwa au hujaja mjini kutoka mwandiga wewe!!!
 
Kiumri unaweza kuniita kaka yako...TID hana sauti ya mvuto na hana tungo zilizoenda shule. Mi nafikiri huyu jamaa alivamia fani tu kwa pupa au tu alipewa ushauri mbovu na wabwia unga wenziwe. Sasa kwa akili yako unataka kuniambia choreography ndiye inamfanya TID kuwa bora au kutokuwa na mademu wazuri kwenye video yake ndiyo chanzo cha yeye kuwa bora au? You need to grow up na utofautishe muziki na mwanamuziki....have you ever heard of the phenomenon called "One Hit Wonder?" This fits TID very well.
Samahani mkuu😀hivi wewe ni muha???maana kuna usemi kwamba muha mmoja aweza bishana na abiria wa behewa moja dar mpaka huko kigoma😕
 
Back
Top Bottom