Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Labda kama unatania....TID ana uwezo wa kupiga show mwenyewe non stop na usikae kitini. .kila ngoma yake atayoimba kama unafatilia mziki utaimba nae hapo akiwa hajaamua kupiga copy za kinyamwezi hajaamua kukata kuimba aanze kudance. ..waulize waliosoma nae shaaban Robert zile food evening zao alikuwa anafanya balaa gani hapo kabla hajatoka kimziki rasmi kabla hajaanza kurap na wanae black gangsters. ..akiflow kama humuoni unajua huyu nas escobar
Unga unamsaidia sana TID ila kimuziki inabidi ajipange upya, fani ina wenyewe hii.