TID ni hatari sana!

Kitu kilichomchelewesha TId ni pamoja na masihara mengi na kutokuwa serious na kazi...Na hili la unga kwa sasa ndo linammaliza kabisa
 
Sauti yake ina weza kumtoa nyoka pangoni
 
TID mjanja mjanja. ...ana kipaji cha kuimba. ..angekubali atungiwe nyimbo angekuwa mbali
 
Teh teh...Ukiwataja wasanii wenye sauti za ukweli TID naye yumo

Naona mmekuja kumpigia promo tu mshikaji wenu. Yes, anaweza kujieleza kwenye interview lakini the guy has no talent na sauti yake ni ya kawaida sana na nafikiri baada ya kusoma alama za nyakati akaona bora abwie unga aachane na mawazo ya kutowin.
 
wewe inaonekana umenuwia kwa makusudi kubishana!
 
TID yuko vizuri basi tu miunga anayotumia,na ni mbishi hakuna!
Kila kitu anajua yeye,sasa sijui ni nani atakayeweza kumnasua huko kwenye uteja.
Nitumie simu yake nimshauri
 
Naona mmekuja kumpigia promo tu mshikaji wenu. Yes, anaweza kujieleza kwenye interview lakini the guy has no talent na sauti yake ni ya kawaida sana na nafikiri baada ya kusoma alama za nyakati akaona bora abwie unga aachane na mawazo ya kutowin.
Mkuu Tid sio mshkaji wangu..Mi Ni shabiki tu kama shabiki wengine...Nnachoweza kukushauri..Rudi kasikilize kazi zake zote zen urudi kujenga hoja..
 
Mkuu Tid sio mshkaji wangu..Mi Ni shabiki tu kama shabiki wengine...Nnachoweza kukushauri..Rudi kasikilize kazi zake zote zen urudi kujenga hoja..
Achana na hilo popoma mkuu,hata sijui unapata wapi muda wa kubishana nae.
Mtu anabisha kuwa TID hajui mziki si mwendawazimu huyo?
Nimem mind kinoma.
 
All I need from you is understanding

Nachotaka toka kwako maelewano

Daaah TID huyu alikua ni best best
Mkuu umenipa uchungu sana kunikumbusha enzi za TID yule TID sio huyu Skeleton wa sasa.
 
Uenda sauti bado ipo sema kichwani ndo hakujatulia...Kama vipi amtafute mtu amchore mistari ya ukweli adondoshe hit ya ukweli
Una point bab. .kifo cha mangwea kilimpagawisha sn power bank TID kwani ndo kichwa alikuwa anakitegemea kimchoree mistari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…