TID ni hatari sana!

TID ni hatari sana!

Binadamu wasenge sana, kila mtu anajifanya anamjua T.I.D, ooh Mara ngada Mara poda Mara unga... Mwisho mtasema Mara mchele Mara mchuzi.
 
unaongea maneno mengi lakini huujui mziki,katika video ya zeze ilikubalika sauti choreography..kwa nini nimesema kwenye zeze hakuna madem its because watu wengi wanapenda especially wanaume wimbo kama number one sababu video imejaa wadada wakali..zeze tiid kaimba kigumu na ilikubalika na rika zote..ulikuwa hujazaliwa au hujaja mjini kutoka mwandiga wewe!!!
Mwandiga tena? Ngoja MOTOCHINI akusikie
 
cheki hizo sikio zako ndo ziko ''Out OF Tune'' Pia iko wazi We Ni Mdau Wa Ngonjera So Level Za ''TID~MNYAMA'' Znakuacha Chini Mno; labda ''OTTU JAZZ'' Na Kina ''SIKINDE''

Unajua Goma La ''TID FT NAZIZI''-''Watasema Sana Na Kisha Watalala ; Kama Kunipenda Najua Umenipenda Sana''..Mnyama Anamalizia ''OYEE''(rudia Kiitikio Mara 2)

Jigo

Sasa kwa akili yako TID ni mtu wa kumfananisha na wanamuziki wa Sikinde au OTTU, kwa kigezo gani wakati yeye si mwanamuziki? Mpeni unga jamaa yenu anahuitaji kinoma.
 
Samahani mkuu😀hivi wewe ni muha???maana kuna usemi kwamba muha mmoja aweza bishana na abiria wa behewa moja dar mpaka huko kigoma😕

Waha ni kina Diamond, Ally Kiba walio na ubishi wa kijinga...mimi si Muha na wala sifanani na waha. Mimi naongea ukweli mtupu na wala sifuati mkumbo. Cha kushangaza TID mwenyewe kajikubali si mwanamuziki kihivyo bali mbabaishaji tu, nyie mashabiki uchwara mnambishia kiongozi wenu.
 
Sasa kwa akili yako TID ni mtu wa kumfananisha na wanamuziki wa Sikinde au OTTU, kwa kigezo gani wakati yeye si mwanamuziki? Mpeni unga jamaa yenu anahuitaji kinoma.
sijashindanisha Hapa Ila Pointi Yangu ni kuwa kama Wewe sio mdau wa Aina ya mziki anaoutema ni Ngumu Kumvulia Kofia TID~MNYAMA
So baki na Kina Sikinde mkuu sisi wa Huku Hutatuelewa kamwe!!

Tunaomba Kama Anatusikia Wadau wake ,aweke kando maunga Hayamsaidii ktk maisha yake ya kimuziki na kijamii kiujumla

Jigo
 
Qumame, wewe ina kuhusu Nini? Kwani ungejipitia tu ungekufa!? Au Ashk majinun!? Huo ndio usenge wenyewe bibie.
hahahaha kiroba kimekuamsha na hangover una miaka mingapi na unaandika toka chaka gani

msenge bibi yako mzaa nyanya yako
 
Qumame, wewe ina kuhusu Nini? Kwani ungejipitia tu ungekufa!? Au Ashk majinun!? Huo ndio usenge wenyewe bibie.
Joined:
Sep 30, 2015
Messages:
903
Likes Received:
75
Trophy Points:
28
hahahahahaha hahahahahahahahaha ndo maana heeee
 
hahahaha kiroba kimekuamsha na hangover una miaka mingapi na unaandika toka chaka gani

msenge bibi yako mzaa nyanya yako
Kunywa na wewe kiroba, uquma Wa kishamba sigafilii, kisichokuhusu kula kavu acha kuwasha asubuhi
 
TID kwisha kazi sasa hivi.. Sio yule wa ngoma kali kama Asha, Zeze, Bhoke na Zeze.... He was such a good musician mpaka akaja na bendi yake ya TOP BAND.... Leo nyimbo zake kama underground amepika back steps nyingi saaaaana...

Kwa watoto wa juzi hawawezi kujua watabaki kumtetea.... Finally jamaa anapiga unga kwao kinondon. Ukishapiga unga kwisha habari yako ndio maana na jina lake loooooote TID bado anaishi kwa mama yake...

Achen kutetea upumbavu TID ameshapotea bora hiyo juhudi unayoitumia kumfagilia TID uihamishie kwenye kufanya kazi
 
unavyoandika tu unaeleweka ni mtu wa aina gani inaelekea una stress za maisha
Jikute mwanasaikolojia wakati hujasoma hiyo saikolojia.. Sio kila unaemuona ukajua ana shida kama zako, chukua time yako na acha tabia za kimavi mavi za ku-quote watu pasi na sababu
 
Jikute mwanasaikolojia wakati hujasoma hiyo saikolojia.. Sio kila unaemuona ukajua ana shida kama zako, chukua time yako na acha tabia za kimavi mavi za ku-quote watu pasi na sababu

hii forum ya watu wooote kama unaona tabu ondokaa khaaaa
 
hii forum ya watu wooote kama unaona tabu ondokaa khaaaa
Unadhani sijui kama ya watu wote, famba kweli wewe, kama sio usenge na kiebede mswede kujibu comment ambayo haikuhusu ni Nini? Wenzio waliokaa kimya ulihisi mabubu eti?
 
Unadhani sijui kama ya watu wote, famba kweli wewe, kama sio usenge na kiebede mswede kujibu comment ambayo haikuhusu ni Nini? Wenzio waliokaa kimya ulihisi mabubu eti?
aisee huna matusi mapya haya nimeyazoea ya kawaida sana hayanishtui
 
Back
Top Bottom