Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
I'll say it maana naona kila mmoja anaogopa kulisema.
This mediocre bwana Tido kaamua kuhamia Lowassa.(Tv ya Lowassa) I'm sure wapambe wake wakiamka asubuhi watampa taarifa kuwa kabandikwa tena JF.
Sasa Tido wala usipate taabu if anything usharahisishia watu kazi na kinachosubiriwa ni hiyo barua yako.
Now the question is bwana Tido ataendelea kuwaficha staff wake mpaka lini.
Nimekuwa naitazama TBC channels zote if anything naona hakuna kipya alichokileta Tido zaidi ya kutumalizia kodi zetu kwa seminars zisizokwisha.
it gets more interesting kuwa huyu bwana alitaka kujimould kama John Reith lakini kasahau kuwa marehemu Reith alikuwa na Principles ambazo zimeifikisha BBC pale ilipo.
Lakini msishangilie sana kwani at the moment TBC is run by a bunch of Political Correctness twats ambao wanapewa ushauri ka top echelon ya TBC ambayo if anything imehaa ma extreme Cultural Marxist social engineers. I guess we dont need to any further reasons for understanding why their programmes manage to combine extreme tedium with a visceral anti-Govt bias.
Uzuri ni kuwa some of us havent bought any Tido's Cultural Marxist claptrap and we are never likely to.
Sasa stay tuned na maswahiba wake ambao wata register kuja kumtetea hapa jf...obviously tunajua post count zao.