Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

jamani, this an era of free market and people are capable of working anywhere they like provided that they have the required knowledge. Mi sioni tatizo la huyo jamaa TIDO kuhama, cha muhimu kijiuliza ni kwa nini anahama? Hakuletwa TBC akae maisha yake yote. Tusubiri atakachofanya huko TV mpya na hapo ndipo tutajua kama yuko bias au lah! Ni hayo tu wajomba!
inaweza ikawa ni uzushi hii habari.

Hayo ya kufanya kazi yeyote mahala popote ni kwa watu ambao wanatafuta kula au ujuzi/uzoefu.

Ukiwa na hadhi ya Tido lazima uchague unafanya nini na wapi.Hatafuti kula yule. Kwa miaka yote hiyo na nyadhifa zote hizo alishajijenga. Kumfanyia kazi lowasa na si umma haiwezi ikawa ndoto yake.
 
Ni kweli wadau, nimehakikishiwa kuwa Tido anaondoka TBC kwa kuwa umri wake wa kustaafu umefika na nimedokezwa kuwa amekataa Mkataba mwingine.
 
Kuna siku mtazamaji mmoja aliuliza Juma Nkamia yupo wapi? jibu la Marin Hassan lilinishangaza sana kwani alijibu yeye hawezi kujibu, management ndio inaweza kujibu.

Eti jamani naye Nkamia kaondoka/kafukuzwa au Marin alinogesha tu, maana najua ana bifu kali sana na Nkamia
 
nkamia yuko VOA-voice of america nahisi ana mkataba mzuri huko.
 
Tido is not a public servant no does he hold any public office. Ana weza kuhamia popote anapo taka kwa sababu zozote zile alizo nazo. When it comes to a career one chooses the path he/she thinks will suit him/her best. Muache aende. Akifanikiwa au kushindwa huko itakua juu yake.
 
t2.jpg

I'll say it maana naona kila mmoja anaogopa kulisema.

This mediocre bwana Tido kaamua kuhamia Lowassa.(Tv ya Lowassa) I'm sure wapambe wake wakiamka asubuhi watampa taarifa kuwa kabandikwa tena JF.

Sasa Tido wala usipate taabu if anything usharahisishia watu kazi na kinachosubiriwa ni hiyo barua yako.

Now the question is bwana Tido ataendelea kuwaficha staff wake mpaka lini.

Nimekuwa naitazama TBC channels zote if anything naona hakuna kipya alichokileta Tido zaidi ya kutumalizia kodi zetu kwa seminars zisizokwisha.

it gets more interesting kuwa huyu bwana alitaka kujimould kama John Reith lakini kasahau kuwa marehemu Reith alikuwa na Principles ambazo zimeifikisha BBC pale ilipo.

Lakini msishangilie sana kwani at the moment TBC is run by a bunch of Political Correctness twats ambao wanapewa ushauri ka top echelon ya TBC ambayo if anything imehaa ma extreme Cultural Marxist social engineers. I guess we dont need to any further reasons for understanding why their programmes manage to combine extreme tedium with a visceral anti-Govt bias.

Uzuri ni kuwa some of us havent bought any Tido's Cultural Marxist claptrap and we are never likely to.

Sasa stay tuned na maswahiba wake ambao wata register kuja kumtetea hapa jf...obviously tunajua post count zao.

GT; huyo jamaa kwenye avatar yako amefanana sana na Tido mwenyewe...Teh teh teh!
 
Mkataba wake ukiisha atakuwa na umri wa miaka 64. Umri wa kustaafu kwa WaTZ ni miaka 60 kwa lazima. Jamani mwenzenu akagange njaa wapi ili amalizie maisha yake ??? Yeye ni mtu wa Media, hajui aina nyingine ya ujasiria mali, sasa ataishi vipi ?? Basi msaidieni kumtafutia media house nyingine apart from Lowassa TV and Radio Ltd.
 
nkamia yuko VOA-voice of america nahisi ana mkataba mzuri huko.

Na yule dada aitwaye Grace Chingalambe yuko wapi siku izi, make hakuaga na pete, au kachukuliwa jumla na jamaa kamkataza kutangaza?
 
Jamani mkubwa mamvi mbona unaendelea kutuumiza..........
 
Shida hapo wana JF ni nini? Mbona ni kitu cha kawaida mtu baada ya kustaafu unatafuta pa kupotozea muda na angalau kutop off pension? Je Tido angehamia ITV, Star Tv, au yeyote ungeleta mada? Kwa kuwa anahamia kwa Lowassa ndio iwe issue sio? Leteni hoja za maana na sio umbea wa kike hapa.
 
Shida hapo wana JF ni nini? Mbona ni kitu cha kawaida mtu baada ya kustaafu unatafuta pa kupotozea muda na angalau kutop off pension? Je Tido angehamia ITV, Star Tv, au yeyote ungeleta mada? Kwa kuwa anahamia kwa Lowassa ndio iwe issue sio? Leteni hoja za maana na sio umbea wa kike hapa.[/QUOTE]

Wewe unapaswa kuomba radhi wabeijini waliopo hapa .
 
Lazima kuhamia kwa Lowassa iwe issue kwa sababu huyu Lowassa anatuhumiwa kuihujumu nchi na alijiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu hiyo!
 
I don't see the reason to discuss the life carreer of Tido Mhando hapa. Kila mtu anachagua anapopaona panamfaa kufanya kazi either kimaslahi na mazingira mazuri ya kazi pia. Kuhama kwake hakutapunguza chochote TBC kwani wapo wataoziba nafasi hiyo.
 
Money money money! Habari corporation iliuzwa; nini Tido, mwache aende
 
Shida hapo wana JF ni nini? Mbona ni kitu cha kawaida mtu baada ya kustaafu unatafuta pa kupotozea muda na angalau kutop off pension? Je Tido angehamia ITV, Star Tv, au yeyote ungeleta mada? Kwa kuwa anahamia kwa Lowassa ndio iwe issue sio? Leteni hoja za maana na sio umbea wa kike hapa.[/QUOTE]

Wewe unapaswa kuomba radhi wabeijini waliopo hapa .

Ana maana kuna umbea wa kiume au? Atake radhi wote, wanaume na wanawake.
Nikirudi kwenye mada, tatizo ni Tido kuhama TBC au ni kwenda kwenye TV ya Lowassa? Kama mtu binafsi, ana haki ya kuchagua kazi anayoitaka. Katika TV zote za Tanzania, yenye akili kidogo ni TBC katika mambo mengi ambayo naamini Tido amechangia katika ubunifu na kutoa mwelekeo.
 
Back
Top Bottom