Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

t2.jpg

I'll say it maana naona kila mmoja anaogopa kulisema.

This mediocre bwana Tido kaamua kuhamia Lowassa.(Tv ya Lowassa) I'm sure wapambe wake wakiamka asubuhi watampa taarifa kuwa kabandikwa tena JF.

Sasa Tido wala usipate taabu if anything usharahisishia watu kazi na kinachosubiriwa ni hiyo barua yako.

Now the question is bwana Tido ataendelea kuwaficha staff wake mpaka lini.

Nimekuwa naitazama TBC channels zote if anything naona hakuna kipya alichokileta Tido zaidi ya kutumalizia kodi zetu kwa seminars zisizokwisha.

it gets more interesting kuwa huyu bwana alitaka kujimould kama John Reith lakini kasahau kuwa marehemu Reith alikuwa na Principles ambazo zimeifikisha BBC pale ilipo.

Lakini msishangilie sana kwani at the moment TBC is run by a bunch of Political Correctness twats ambao wanapewa ushauri ka top echelon ya TBC ambayo if anything imehaa ma extreme Cultural Marxist social engineers. I guess we dont need to any further reasons for understanding why their programmes manage to combine extreme tedium with a visceral anti-Govt bias.

Uzuri ni kuwa some of us havent bought any Tido's Cultural Marxist claptrap and we are never likely to.

Sasa stay tuned na maswahiba wake ambao wata register kuja kumtetea hapa jf...obviously tunajua post count zao.
Msianze kututisha huyo mediocre amefanyakazi RTD na alikuwa mtangazai mzuri sana na alipoondoka kwenda BBC alifanya kazi nzuri tu kiasi cha kuwa na cheo kizuri tu.
Kabla ya kuingia TBC wote tunajua ilikuwa vipi usitake kutudanganya TBC ya sasa siyo ile aliyoikuta na vilevile siyo aliyoitaka iwe bali resource ndiyo tatizo. Kama amehama kwenda kwa Lowasa kuna tatizo gani au ndiyo chuki zenu mnataka kuambukiza watu kama vile hawana akili?
DUA LA KUKU SIKUZOTE HALIMPATI MWEWE
 
t2.jpg

Now the question is bwana Tido ataendelea kuwaficha staff wake mpaka lini.

Nimekuwa naitazama TBC channels zote if anything naona hakuna kipya alichokileta Tido zaidi ya kutumalizia kodi zetu kwa seminars zisizokwisha.

Wamemaliza kutufisadi, wamechukua kilicho chao, wanasonga mbele.
 
Hebu nisaidieni wakuu wangu. TV ya Lowasa inaitwaje, i.e jina lake?? Ipo mkoa gani?

Hatukatai Tido Mhando ni guru wa mambo ya habari na amekuwa mchapakazi ndani na nje ya nchi. Amejitahidi pia kuboresha mazingira ya kazi TBC na kuweza hata ku-attract potential staff from other TV stations, hasa Jerry Muro niliyekuwa ninampenda sana(from the bottom of my heart).

Kama kweli Tz tuko seriuous ni vema kama ni mshahara unamwondoa basi aongezewe mshahara, na kama ni umri wa kustaafu umefika basi apewe mkataba kwani bado ujuzi wake unahitajika na bado ana nguvu.

Kama hataki tena public sector, basi namshauri ana uwezo wa kuanzisha TV station yake na ikafanya vizuri sana. Inasikitisha kuwa watu wengi wana know how ila they fear to take risk!!! to become entrepreneurs.

Kwenda kwa Lowasa ni kitendawili!!! Lowasa for sure kama atakuwa na TV yake ni lazima kutakuwa na share holders ( I guess) na maswahiba kama yule jamaa wa Kagoda!!! Sasa hawa ni maswahiba wa mkulu. Kwa mantiki hiii juhudi za kutaka kum-retain Mhando TBC hazitawezekana. Ni lazima ataondoka kutumikia maswahiba wa jamaa. Najaribu kufikiria kwa mbali zaidi wakuu. Wale vipenzi wa Mafisadi, RA. Lowasa na wengine wa design hii msinipige mawe. Chonde.
 
Maane,
Nasikia TV ya Lowassa itaitwa ABC (Arusha Broadcasting Co?) Sijui inaanza lini matangazo yake.
 
GT propagandist ideologue, Tido mediocre, Lowasa fisadi papa.

GT is short on facts and long on rhetoric, Tido has a ton of unaddressed accusations and Lowassa is literary blinded by ufisadi.

Sijui hata tukimbilie wapi.
 
hakuna kitu kama hicho..yule tido ni mwanahabari mkongwe...mara nyingine anapata kazi za CONSULTANCY hata nje ya nchi...sidhani kama wewe ni fani yako unaweza kukataa...kutoa ushauri kwa malipo...

naona GT aliyekupa taarifa hizi inawezekana amemuona Mzee Tido akiwapa ushauri hao jamaa wanaotaka kuanzisha televisheni na radio......kama ni kweli si jambo la ajabu ...sana na haliashirii kuhama..

Tido ungemuhusisha na kugombea ubunge mwakani ..ningekuelewa..kwa sababu wananchi wa kwao wamemuomba...

ni kweli tido is a biig name ..amekuwa director BBC swahili,Alikuwa KBC -KENYA ...ALIKUWA RTD....NADHANI akiamua kujiunga na televisheni ...ataeleweka iwapo atakuwa mmoja wa wamiliki na sio mwajiriwa!!
 
- Masikini ya Mungu wa-Tanzania, eti kweli tunajaribu kulumbana kuhusu Tido kutoka Mtandao kwenda kwa Lowassa? Tofauti yake kwani ni nini hasa?

- Au I am missing something here or what?

Respect.

FMEs!
 
Kutoka kuwa mtangazaji wa kimataifa hadi kuwa mtangazaji wa umasaini sasa kweli naamini maneno ya yule professor mzungu Watson alivyosema watu weusi hatuna akili na pia naamini kuwa jinsi umri unavyozidi kuyoyoma ,hata akili inakuwa kwishnei.Mkuu Tido karibu sana Monduli inakuwa ni rahisi kushuka Muheza ukitokea Monduli kuliko kutoka Dar
 
Kama jamaa anamlipa vizuri kuliko TBC aende tu. Green pasture si lazima ukubwa wa kampuni, bali kipato.

Nadhani Dunstan ni mtu mwenye akili timamu hawezi kurubuniwa na VIJISENTI vya kifisadi aache ajira ya serikali ambayo ni ya uhakika na yenye hadhi!! Akichukua uamuzi wa kuhamia kwenye TV station ya huyo fisadi that will be synonimous na Zitto kuhama Chadema na kwenda TLP; na huo ndio unakuwa mwisho wa career!! Lakini inawezekana huu ukawa uzushi wa GT! Lakini hata kama akiamua kwenda hiyo itadhihilisha yale yaliyosemwa juu yake kwani waswahili husema, njiwa haruki na kunguru bali na njiwa wenzie!!
 
mods nadhani hii mngei flush kwenda uzushi kama kunahili jukwaa
 
jamani, this an era of free market and people are capable of working anywhere they like provided that they have the required knowledge. Mi sioni tatizo la huyo jamaa TIDO kuhama, cha muhimu kijiuliza ni kwa nini anahama? Hakuletwa TBC akae maisha yake yote. Tusubiri atakachofanya huko TV mpya na hapo ndipo tutajua kama yuko bias au lah! Ni hayo tu wajomba!
 
hakuna kitu kama hicho..yule tido ni mwanahabari mkongwe...mara nyingine anapata kazi za CONSULTANCY hata nje ya nchi...sidhani kama wewe ni fani yako unaweza kukataa...kutoa ushauri kwa malipo...

naona GT aliyekupa taarifa hizi inawezekana amemuona Mzee Tido akiwapa ushauri hao jamaa wanaotaka kuanzisha televisheni na radio......kama ni kweli si jambo la ajabu ...sana na haliashirii kuhama..

Tido ungemuhusisha na kugombea ubunge mwakani ..ningekuelewa..kwa sababu wananchi wa kwao wamemuomba...

ni kweli tido is a biig name ..amekuwa director BBC swahili,Alikuwa KBC -KENYA ...ALIKUWA RTD....NADHANI akiamua kujiunga na televisheni ...ataeleweka iwapo atakuwa mmoja wa wamiliki na sio mwajiriwa!!
WEWE MANGI MUONGO SANA TIDO HAKUWAHI KUWA NA CHEO HICHO NA HAKIPO BBC.KWANINI UNAISHI KWA KUZUA MAMBO? KAMA HUJUI NI BORA UNYAMAZE.USIRUDIE

UNAFIKI KAMA HUU.PITIA WWW.BBCSWAHILI.COM WAPI KUNA CHEO HICHO?
 
....ni cheo gani sasa kikubwa kuliko vyote ndani ya BBC swahili??? ..... thats what i literally mean...tido dastan muhando was Mkuu wa Idhaa Ya BBC SWAHILI..hapa tanzania tunapenda kusema MKURUGENZI[director]...ukienda marekani angeitwa vice president - swahili sewrvice ....maana president angekuwa ni mkuu wa bbc kwa ujumla]...do not be counfused na haya yote ..kuna majina mengi tu yanayomaanisha u boss.....usiwe kama wale wasio elimika....?....kuna nchi kiongozi mkuu wa nchi huitwa ...president,king,prime minister,chancelor,Leader[ie north korea dear leader],chairman ,supreme leader etc etc....lakini kadiri uitavyo kote ina maanisha Kiongozi mkuu?
 
i love you man............!
That makes two of us!
three of us. huyu bwana GT ana lake jambo. ni mzushi au anachuki binafsi au katumwa!! aeleze kwa undani story yake isiyoeleweka. ni vibaya kuanza mwaka kwa kutapika uchafu kwa style hii
 
Back
Top Bottom