F**** ing six hours per day.Tatizo ni lipi Media vipindi vya michezo kuwa saa 6 usiku?
Mbona kama vile wamekosa la kufanya wanataka kuingilia kila kitu
Anyway, bado sio kesi hata ikiwa n saa 20 kwa siku.F**** ing six hours per day.
Aliogopa kusema ukweli ili asikose kupewa iyskrimu ya bure na bakhresa.Anyway, bado sio kesi hata ikiwa n saa 20 kwa siku.
Kuna baadhi ya channel n za sports tuu, Sasa mnataka waweke nn tofauti na sports?
Huyo mzee c alikuwa CEO wa Azam, mbona kusema wasionyeshe michezo saa 24 hata kama channel yao n ya michezo tuu.?
Kuna Watanzania washamba sana.Anyway, bado sio kesi hata ikiwa n saa 20 kwa siku.
Kuna baadhi ya channel n za sports tuu, Sasa mnataka waweke nn tofauti na sports?
Huyo mzee c alikuwa CEO wa Azam, mbona kusema wasionyeshe michezo saa 24 hata kama channel yao n ya michezo tuu.?
Angeanza na Azam alipokuwa CEO hapo, angewaambia wapige na siasa.Kuna Watanzania washamba sana.
Hawajui channel za michezo 24 hours?
Hiyo bodi ya ithibati yenyewe ni ujinga mtupu.Angeanza na Azam alipokuwa CEO hapo, angewaambia wapige na siasa.
Na bado anaweza kuwaambia mana c n mwenyekiti wa bodi ithibati, afanye hvy tuone nguvu yake kama mwenyekiti
Hapana, kuna point nawakubali.Hiyo bodi ya ithibati yenyewe ni ujinga mtupu.
Tatizo lenu Watanzania wengi mnaangalia matatizo kinyumenyume.Hapana, kuna point nawakubali.
Watangazaji wengi walikuwa wapiga kelele na hana elimu, afadhali tumeondolewa noise pollution
Kwamba masaa sita tuongee kuhusu futbol na usajili wa ulaya?Hicho ndicho kilichobaki vichwani mwenu? Stupid moves!Inabidi Hawa wazee waeleweshe kuwa Dunia inahama na vyombo vinabidi viangalie mraji anataka Nini ili waweze mrisha na wao watengeneze pesa za kuendesha hivyo vyombo vyao
Mnataka kuzipangia TV/Radio stations kipindi? Mtawasaidia kulipa kodi na mishahara ya wafanyakazi wao?
View: https://www.instagram.com/reel/DY0O1QAIDfv/?igsh=MTV3MnRxaTQwdXNxOA==Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Bw. Tido Mhando, amewataka Waandishi wa Habari nchini kutafakari upya wajibu wao katika kuijenga jamii kupitia maudhui yenye tija, akieleza kuwa ipo haja ya kurejesha hadhi na nguvu ya taaluma hiyo katika kujenga fikra na maendeleo ya taifa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Bw. Mhando amesema pamoja na JAB kusimamia utoaji wa ithibati kwa kuzingatia vigezo vya elimu na sheria, bado kuna umuhimu wa Waandishi wa Habari kuendelea kujengewa uwezo kupitia mafunzo ya kitaaluma.
“Tukitazama baadhi ya vyombo vyetu vya habari, iwe ni magazeti, redio au televisheni, mambo ya kufikirisha kwa kiasi kikubwa yamepungua. Waandishi wa Habari wanapaswa kutafakari kama hiyo ndiyo taswira wanayotaka kuiacha katika jamii ya Watanzania,” amesema.
Amesisitiza kuwa vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuunda mtazamo wa jamii, hivyo kuna wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayotolewa yanajenga uelewa, yanakuza maendeleo na yanalinda maslahi ya taifa.
“Tunachosimamia ni kuhakikisha Mwandishi wa Habari anayepata ithibati anakuwa na kiwango cha elimu kisichopungua Diploma, lakini tunataka pia Waandishi wa Habari waendelee kupata mafunzo ili waweze kuimarika zaidi kitaaluma,” amesema.
Amesema kuna haja ya sekta ya habari kutafakari aina ya maudhui yanayopewa kipaumbele, akisisitiza kuwa vyombo vya habari vina nafasi kubwa katika kujenga fikra na mwelekeo wa jamii.
Source tumaini media