Tido Mhando: Kuna Haja Gani ya kufanya Kipindi Cha Michezo Saa Sita Kwa Siku

Sasa tukiibua matatizo ya kijamii,kisiasa au kiuchumi tunaishia kuonywa ama kufungiwa,kipi bora sasa? Tukijadili michezo tunaonekana tunakosea, inabidi hao tuwaachie JAB wajiendeshe wenyewe. inachosha sana.
 
Kwamba masaa sita tuongee kuhusu futbol na usajili wa ulaya?Hicho ndicho kilichobaki vichwani mwenu? Stupid moves!
Hawakuangali wewe na mimi wanaangalia majority ya waraji wao, wewe huoni asubuhi kilikuwa na vipindi vya umbea, mchana taarabu jioni vipindi vya mziki usiku mapenzi,

Azam two kuanzia saa 8 mchana mpaka sasa usiku wa manane ni tamthiliya tu tena za kigeni yeye angeanza kunyoosha kwenye taasisi aliyokuwa ananifanyia kazi kama mkurugenzi lakini wapi anataka wengine wabadilike
 
Mfumo ndiyo unataka hivyo
Watu wakijadili mambo ya siasa nk wanajuwa nini wanachokutana nacho
Huyo tido asijifanye haijuwi
Hali halisi wanayokutana nayo waandishi na watangazaji

Ova
Hakika
 
Hawakuangali wewe na mimi wanaangalia majority ya waraji wao, wewe huoni asubuhi kilikuwa na vipindi vya umbea, mchana taarabu jioni vipindi vya mziki usiku mapenzi,

Azam two kuanzia saa 8 mchana mpaka sasa usiku wa manane ni tamthiliya tu tena za kigeni yeye angeanza kunyoosha kwenye taasisi aliyokuwa ananifanyia kazi kama mkurugenzi lakini wapi anataka wengine wabadilike
Hiyo "majority" ndiyo kundi la wajinga watupu! Hakuna mengine ya kujadili hadi iwe mpira tu?Huo ni upumbavu uliopea viwango.
 
Nadhan n muda sasa Tido kustaafu kabisa

Kila redio Ina lengo lake miaka ya 1990-2000 kucheza bongo fleva redion ilikuwa kama dhambi au kosa

Lakn Leo had tbc taifa inapiga bongo fleva maana yake muda huamua nini kitangulie kama utataka kushindana muda hapo ndio mgongano hutokea na kuonekana umepitwa na wakat

Leo DW UJERUMAN inatangaza habar za Dunia lakn SKY SPORT wameamua kutoa habar za michezo

Alipokuwa azam alianzisha AZAM SPORT 1; 2 na 3 kwan aliwaza nini kianzisha hizo channel za michezo

Kaz na umri muda wake umefika.mwisho sasa
 
Ndiyo muongee kuhusu mpira masaa sita? That's fvckn too much!
 
N mjinga TU ambaye atashupaza shingo kuwa mpira ndio industry yeye fedha zaidi na hz redio zinahtaj mapato kulipa mishahara Kodi

Sasa hizo hard news mnazotaka vituo vingi TU sasa vinapumulia mashine nenda pale RFA ndio utajua
 
Back
Top Bottom