Leo kumekucha
Clouds, NMB..... wanamwaga mipesa kwa Tiffah
Hapo sawa.
Sasa kuna mtu hapa pembeni ananambia "Mashallah mdomo kama babake!"
Ntamnunulia binoculars!
Basi sawa ila wasisahau na toba.
Maana wamepata mtoto bila ndoa..
This says a lot about our intelligence! In the main time kuna hospital hazina madawa! NMB na clouds si wangeweza kuchangia afya, kweli hapa kazi tu.
Duh kumbe me na jamaa yangu anaishi karikakoo kwa mama yake kazaa watoto 4 na wanawake wanne tofauti si ndo atakuwa na dhambi zaidi ngoja nikamuambie akatubu
Lowassa
Ahahahaaa mie nikiomba sura afanane na mama yake!imekuwa bahati mbaya kwa upande wangu!!!sio kwa mjuso ule wa Nassib,ngoja tuone ukubwani
Princess Tiffah na uncle wa Uganda. Naona sura ya shangazi ake Esma inavuta hapo
View attachment 289048