Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Utumwa wa kimawazo..ni mbaya mnoo...yan mtoto anaiteka instaa...dah..
Mtoto kafanana na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumwa wa kimawazo..ni mbaya mnoo...yan mtoto anaiteka instaa...dah..
Mtoto kafanana na nani?
Mashallah ni mrembo sana, Mungu ampe afya njema yeye na wazee wake, aje awe mtoto mzuri zaidi kushinda wazee wake.
Mtoto kafanana na nani?
Lowassa
kafanana na huyu hapa
Wewe ndio Mungu
Ebu mwache mtoto wa Katunzi bwana.
Ila ka cute kama mama yake
Kidomo kidogo dogo kama cha yule muhaya