Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

Diamond knows how to brand his products. So tonight on Clouds TV people will take a tour to his house. Whether it was Clouds idea or his, This shows how much bongo music platform is respected.

In my opinion the next "Diamond" is Ali kiba, Joh Makini, Vee money + Jux, Nahreel and Shetta.

==========

TAZAMA videos za shughuli nzima hapa.





Video clips credit: Global TV
 
Last edited by a moderator:
Diamond knows how to brand his products. So tonight on Clouds TV people will take a tour to his house. Whether it was Clouds idea or his, This shows how much bongo music platform is respeycted.
In my opinion the next "Diamond" is Ali kiba, Joh Makini, Vee money + Jux, Nahreel and Shetta.

Anapiga gorilla attacks, compititors wamesinzia
 
Najisikia aibu kwa kusoma huu ujinga.
Kweli watu wanajadili suala kama hili?Haya bwana.

Nimeguswa na umio lako la moyo hivyo nimeshawishika kukupatia ushauri wa kisaikolojia.

Cha kufanya, tafuta picha ya Diamond, Tiffa na Zari....bandika ukutani wa chumbani kwako au sebuleni...anza kutukana kila aina ya tusi kwa lugha tofauti tofauti....kisha nenda jikoni chukua kisu cha kumenyea vitunguu au nyanya au viazi...nenda kwenye sofa au mto wa kulalia...toboa toboa kwa uwezo wako wote huku unaendelea kutusi...fanya hivi kwa muda wa saa nane mpaka tisa....kisha nenda kitandani, jilaze kifudifudi...hakikisha muda huu wote unalia kwa kugugumia bila kutoa sauti.....jilaze kwa dakika kumi kisha lazimisha usingizi ulale...ukiamka jaribu kujisikiliza kama kuna mabadiliko yoyote....kama bado waweza kurudia zoezi hili kadri utakavyoona inafaa mpaka pale utakapojisikia vizuri.

Utafiti unaonyesha njia hii hupunguza umivu/umio kwa asilimia themanini mpaka tisini.
 
Wow Tiffah yupo juu, waliosoma humu wengiii hadi raha.

Mungu azidi kumbariki.
 
This says a lot about our intelligence! In the main time kuna hospital hazina madawa! NMB na clouds si wangeweza kuchangia afya, kweli hapa kazi tu.

unachekesha hicho kwanini haujauliza kwanini wamlipe?

kwa hiyo misaada ya kusaidia huko mahospitali itakuja bila kuwa na wateja na kuzidi kuwaongeza.

fikra usaidia na sio kuropoka

wivu mbaya
 
Huu upu.uzi wa kumvisha mtoto hirizi bado baadhi ya watu wanao mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom