Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lakini si wanasema jamaa ni tajiri. Sasa katika mamilioni yake ya dola. Kutoa hio kadola milioni 1 ndio kumemuuma!?Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
Lakini si wanasema jamaa ni tajiri. Sasa katika mamilioni yake ya dola ..kutoa hio kadola milioni 1 ndio kumemuuma?Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
You're just a liar!Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
Tangu amlipe yule mke wake wa ki Swedish 1 million US$ as a divorce settlement, Woods hajarudia hali yake ya maisha ya awali.
Baada ya divorce alipitia wakati mgumu na alishuka sana kwenye game. Comforter wake alikua baba yake ambae siku zote alimwambia asikate tamaa angali anaishi. Alikuja kushinda tournament baada ya mazishi ya baba yake alilia sana uwanjani.Mgongo wake pia hauko vizuri just recently he had the 5th surgery on his back.
Tiger Woods undergoes fifth back surgery - PGA TOUR
Will miss Farmers Insurance Open, The Genesis Invitationalwww.pgatour.com
Lakini si wanasema jamaa ni tajiri..Sasa katika mamilioni yake ya dola ..kutoa hio kadola milioni 1 ndio kumemuuma!?
Baada ya divorce alipitia wakati mgumu na alishuka sana kwenye game. Comforter wake alikua baba yake ambae siku zote alimwambia asikate tamaa angali anaishi. Alikuja kushinda tournament baada ya mazishi ya baba yake alilia sana uwanjani.
Bado analipa chaild care costs kila mwezi na amenunua nyumba karibu na mtalaka wake ili awaone watoto Kiu rahisi.Best his divorce settlement was more than $1 million. She got one of TW’s beautiful and expensive houses as well as financial settlement.
Tiger Woods Divorce Settlement: Elin Nordegren received $110M Payout
By Corky Siemaszko via:nydailynews Newly divorced from Tiger Woods, Elin Nordegren is cutting back on the help – even though she got a reported $110 million settlement from her cheating ex, according to RadarOnline.com. “She’s not cheap, but she’s just not throwing money around and wasting it...praisehouston.com
Bado analipa chaild care costs kila mwezi na amenunua nyumba karibu na mtalaka wake ili awaone watoto Kiu rahisi.
😆😆😆Mshaanza kuchoka kuleta habari za Corona kutisha watu,au mnajipanga upya kivingine?