Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Mpaka makampuni yaliyokuwabyanamdhamini yalisepa
Mpaka makampuni yaliyokuwabyanamdhamini yalisepa
Hakika alipitia misukosuko ya hali juu...
Alivyopatwa na ajali ya gari na kukutwa kalewa ndiyo kabisa...
Marafiki karibia yote wakaanza kumkwepa, makapuni yakaanza kujitoa kufanya nae kazi... hakukata tamaa...
Cc: mahondaw
Pale tunapotaka kukata tamaa Mungu ndipo alipoweka miujiza ..
Huyu jamaa amepigana kweli na hali yake mpaka amerejea ktk hali yake , na mpenda sana utendaji wake.
Kukata tamaa ndiyo simu ya mafanikio ya binadamu
Mswede huyo alibeba hizo hela,Tiger hana hamu na ile figisu,bora amemove onAmekushika kisheria na mahakama za huko hazitiwi mfukoni kama Vumba Republic
Nimlimpe mtu bilioni 200 za kitanzania hivi hivi? Never!!!
Kwa pesa aliyoipata kwa Tiger hafanyi kazi tena maisha yake yote.
View attachment 1280104
Akikabidhiwa tuzo la rais la mcheza golf bora 2019. Mpaka sasa Tiger ni mcheza golf mwenye umri mdogo zaidi kupata tunzo hilo.
View attachment 1280106
Alisindikizwa na Erica girl friend wake, mama yake na watoto wake Sam 12 na Charlie 10.
Mke wa Tigger aliondoka na $100 million kama malipo ya talaka.
View attachment 1285842
Elin ex wife akiwa na mtoto wake wa kwanza kwenye relationship mpya
Jordan Cameron and Elin Nordegren were seen out with their new baby Friday evening
Issue siyo kumpa hela bali kujua anazitumbua na Bwana wake mpya. O.J alishindwa kuvumilia.Hapo unaongea na mahakama sio MKEO.
na hela hautoi mfukoni kumpa.
INAKATWA MOJA KWA MOJA KWENYE ACCOUNT YAKO YA BENKI.
marekani hawana mchezo na sheria.
Kuna mzee amenihadithia maisha ya marekani pamoja na hayo mambo ya talaka.
Unaweza ukalia kama wewe ndo unayetakiwa umlipe mkeo hela.
Ana USD 100M +?Bwana mpya ana mpunga wake pia