Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

Ndoa inaweza kukufanya ukanyonyoka manyoya kama kuchi ilihali wewe sio species hiyo ila baada ya kujitambua na kuchagua njia sahihi ndipo manyoa huota tena na kurudi kuwa wewe na zaidi! Ukioa ama kuolewa na pasua kichwa utaishia kuwa mwanafalsafa!
 
Things do happen... Lakini maisha bado yapo... Kama ukiteleza usikubali kamwe kuanguka... Kwakuwa nafasi ya kusimama tena ni kubwa kuliko kukata tamaa
View attachment 1280104
Akikabidhiwa tuzo la rais la mcheza golf bora 2019. Mpaka sasa Tiger ni mcheza golf mwenye umri mdogo zaidi kupata tunzo hilo.

View attachment 1280106
Alisindikizwa na Erica girl friend wake, mama yake na watoto wake Sam 12 na Charlie 10.

Mke wa Tigger aliondoka na $100 million kama malipo ya talaka.

View attachment 1285842
Elin ex wife akiwa na mtoto wake wa kwanza kwenye relationship mpya

Jordan Cameron and Elin Nordegren were seen out with their new baby Friday evening
 
Hapo unaongea na mahakama sio MKEO.
na hela hautoi mfukoni kumpa.
INAKATWA MOJA KWA MOJA KWENYE ACCOUNT YAKO YA BENKI.
marekani hawana mchezo na sheria.
Kuna mzee amenihadithia maisha ya marekani pamoja na hayo mambo ya talaka.
Unaweza ukalia kama wewe ndo unayetakiwa umlipe mkeo hela.
Issue siyo kumpa hela bali kujua anazitumbua na Bwana wake mpya. O.J alishindwa kuvumilia.
 
Back
Top Bottom