Kenya’s Controller of Budget, Margaret Nyakang'o, ametoa ripoti ya matumizi ya serikali kwa Q1 ya FY 2025/2026 (July–September) — na imezua mjadala mkubwa.
Ripoti inaonyesha kuwa State House, chini ya Rais William Ruto, ilitumia takriban KSh 4.5 billion ndani ya miezi mitatu, sawa na KSh 50 million kwa siku .
Kama wananchi tunaambiwa “tighten belts”, mbona State House inatumia billions kwa miezi mitatu tu? Is this prudent use of public funds or business as usual?
Source - Tuko .co.ke