lubano jr
Member
- Apr 25, 2019
- 67
- 117
Tigo kupitia huduma yao ya BUSTISHA leo siku ya 3 imetukata wateja wake mara mbili ya kiasi walichotakiwa kurudishiwa na wateja lakini mpaka sasa tunahangaika kuwapigia simu wanachojibi ni majibu rahisi kuwa pesa utarudishwa ndani ya masaa 24 na sasa ni zaidi ya masaa 72 bila pesa kurejea tunaomba mamlaka ya mawasiliano kuingilia kati hili suala
View attachment 2498701