Tigo fiesta Dar:Mpaka sasa sijaona jipya la kushtua.

Mkuu watu pamoja na waandaaji walikuwa na wasiwasi kama show ingevuka saa 7 usiku.....Ile Jamba Jamba ya Makonda imeharibu mambo mengi mno
 
wasanii wa bongo bado sana kuimba na live band bado mnoo,huyo jux badala ya kuchangamsha umati ye yuko biiizeeee kubembeleza quumaa daah,utoto mtupu.
 
Licha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA KWELI HAMNA JIPYA!! Hayo ni Maoni yangu!!
WANAMZIKI WETU HAWAJUI KUPERFORM LIVE.UNATOA ELFU KUMI HALAFU MWANAMUZIKI ANAKUIMBISHA.SEMA YEE SEMA WOO
 
Licha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA KWELI HAMNA JIPYA!! Hayo ni Maoni yangu!!

FIESTA ni ujinga mtupu tu.....wasanii wamechoka ile mbaya na kuiga wamarekani is just too much mpaka wanaboa kichizi. In short kama ulivyosema, hawana jipya.
 
Back
Top Bottom