Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Sasa hivi nani yupo kwa steji?Nothing new daaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi nani yupo kwa steji?Nothing new daaa
Ahahahaha!!!! Akikujibu nishtue NA mm mkuu tunaweza ingia fungulia mbwa!!!!Sasa hivi nani yupo kwa steji?
Upuuzi huo ebooooAfadhari show za Nuhu Mziwanda kuliko huyu Kiba.
wasanii wa bongo bado sana kuimba na live band bado mnoo,huyo jux badala ya kuchangamsha umati ye yuko biiizeeee kubembeleza quumaa daah,utoto mtupu.Mkuu watu pamoja na waandaaji walikuwa na wasiwasi kama show ingevuka saa 7 usiku.....Ile Jamba Jamba ya Makonda imeharibu mambo mengi mno
WANAMZIKI WETU HAWAJUI KUPERFORM LIVE.UNATOA ELFU KUMI HALAFU MWANAMUZIKI ANAKUIMBISHA.SEMA YEE SEMA WOOLicha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA KWELI HAMNA JIPYA!! Hayo ni Maoni yangu!!
Licha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA KWELI HAMNA JIPYA!! Hayo ni Maoni yangu!!