Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kitendo cha kampuni ya Tigo kutumiwa pia kutoa ushahidi wa mchongo wakati wa kesi ya ugaidi ya Mbowe, huo ni ushahidi kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitumika na serekali katika kuwafanyia uovu wapinzani.
Hivyo hawawezi kujitenga sasa kuhusu kutoa location ya Lisu kuhusu shambulio lake, maana hata baada ya mtangulizi wa Samia kuondoka, bado kampuni hii imeendelea kutumika kufanya uovu dhidi ya wapinzani.
PIA SOMA
- Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani