Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishamalizana na Tigo kitambo sanaKitendo cha kampuni ya Tigo kutumiwa pia kutoa ushahidi wa mchongo wakati wa kesi ya ugaidi ya Mbowe, huo ni ushahidi kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitumika na serekali katika kuwafanyia uovu wapinzani.
Hivyo hawawezi kujitenga sasa kuhusu kutoa location ya Lisu kuhusu shambulio lake, maana hata baada ya mtangulizi wa Samia kuondoka, bado kampuni hii imeendelea kutumika kufanya uovu dhidi ya wapinzani.
PIA SOMA
- Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Kuna watu wanafanya kila mbinu ifutweHii itakuwa kwenye mahakama ya beberu, hakuna mtu mwenye akili atapeleka hii kesi Kwa majaji na mahakimu wanaotoa hukumu Kwa order za simu
Tigo watamruka afisa wao Alfred.Kitendo cha kampuni ya Tigo kutumiwa pia kutoa ushahidi wa mchongo wakati wa kesi ya ugaidi ya Mbowe, huo ni ushahidi kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitumika na serekali katika kuwafanyia uovu wapinzani.
Hivyo hawawezi kujitenga sasa kuhusu kutoa location ya Lisu kuhusu shambulio lake, maana hata baada ya mtangulizi wa Samia kuondoka, bado kampuni hii imeendelea kutumika kufanya uovu dhidi ya wapinzani.
PIA SOMA
- Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Kuna siku hili bungo watalitema tuu![]()
Shida ,mpo na akili ndogo sana, kwenye kesi ya namna hii, na yale serikali hii imeionesha dunia tarehe 23/9/2024, namna police walivyojazana na silaha za moto kama nchi ipo vitani , mnaosema maandamano yamefeli ,brain zenu ,zimekufa.Maandamano
....yooooooooooooooooooooooooooooote
Kuanzia 255 mpaka ya maombolezo
.....yamebuma.
Sasa Tiiigo, Tigo, Tiiiigo Tigo
Mafupa haya.
Jibu ni Ndio!Marehemu Mzee Ally, alikuwa na TiGo; vipi, Lema anatumia TiGO?Wale vijana walio tekwa walikuwa na TiGO? Kama majibu yote ni NDIYO, hapo kuna tatizo lililo wazi.
Hebu kwanza: Ben Saanane alikuwa na TiGO?
Duuui kazi sanaaaa.....sheria zinawabanasana inabidi watoe taarifa za mteja...bila kupendaKitendo cha kampuni ya Tigo kutumiwa pia kutoa ushahidi wa mchongo wakati wa kesi ya ugaidi ya Mbowe, huo ni ushahidi kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitumika na serekali katika kuwafanyia uovu wapinzani.
Hivyo hawawezi kujitenga sasa kuhusu kutoa location ya Lisu kuhusu shambulio lake, maana hata baada ya mtangulizi wa Samia kuondoka, bado kampuni hii imeendelea kutumika kufanya uovu dhidi ya wapinzani.
PIA SOMA
- Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Hii ni kwa mujibu wakoTigo watoe location?
Lisu ni maarufu.
Sura yake inajulikana na hata asiyefuatilia siasa.
Pia alisharipoti kua anafuatiliwa.
Tigo sidhani kama ilikua na haja ya kutoa location ya high profile politician kama Lisu.
Kuvujisha mawasiliano inamake sense kuliko kuvujisha location.
Obviously.Hii ni kwa mujibu wako
Wewe ndio hujui kitu. Shut your Hole.Hujui kitu, Shut up!
Mitanganyika mna akili za hovyoooo sana
Kuwa na akili kubuma kwa maandamano kama unavyosema ilikuwa ccm na policcm wawaache chadema wafanye maandamano yao ili tuwaone kutokuungwa kwao mkono lakni unasema yamebuma wakati jambo la kwanza mlikimbilia kuwakamata viongozi wao na baadhi ya wanachama wao na nchi mzima mkailiweka jeshi la wa wananchi mlilolivalisha forms za kipolice na kuwachanganya na policcm wakaida.Maandamano
....yooooooooooooooooooooooooooooote
Kuanzia 255 mpaka ya maombolezo
.....yamebuma.
Sasa Tiiigo, Tigo, Tiiiigo Tigo
Mafupa haya.
Shida ,mpo na akili ndogo sana, kwenye kesi ya namna hii, na yale serikali hii imeionesha dunia tarehe 23/9/2024, namna police walivyojazana na silaha za moto kama nchi ipo vitani ,
Majeshi ya Marekani hayo yakivunja maandamano. Tena wakiwa na silaha za moto.Zimefeli sana. Na Brain zipo moto.mnaosema maandamano yamefeli ,brain zenu ,zimekufa.
Ona Ulivyo. Mackonda ndio nini?Tulishawambia chadema kila movement kwao ipo calculated , nyie mko tegemea watu kama wakina MACKONDA
Funga tundu lako la choo.Kuwa na akili
Yamebuma Hutaki?kubuma kwa
Hiyo ni kawaida sana kwa Serikali yeyote ile makini. Kumbuka this is a zero sum game.maandamano kama unavyosema ilikuwa ccm na policcm wawaache chadema wafanye maandamano yao ili tuwaone kutokuungwa kwao mkono lakni unasema yamebuma wakati jambo la kwanza mlikimbilia kuwakamata viongozi wao na baadhi ya wanachama wao na nchi mzima mkailiweka jeshi la wa wananchi mlilolivalisha forms za kipolice na kuwachanganya na policcm wakaida.
Ili upigane na mtu mwache awe huru.
Hawa ni wapindishaji tu.Tigo watoe location?
Lisu ni maarufu.
Sura yake inajulikana na hata asiyefuatilia siasa.
Pia alisharipoti kua anafuatiliwa.
Tigo sidhani kama ilikua na haja ya kutoa location ya high profile politician kama Lisu.
Kuvujisha mawasiliano inamake sense kuliko kuvujisha location.
Hii ndio dawa yaoYa kwangu hata siitumii nina miezo minne sijaiwekea salio na wanadai mkopo wao wa Nivushe. Silipi ng'o
Maelezo mengi hoja 0.Funga tundu lako la choo.
Yamebuma Hutaki?
Hiyo ni kawaida sana kwa Serikali yeyote ile makini. Kumbuka this is a zero sum game.
Polisi wanawekwa kwa Usalama wa Raia na mali zao, itoshe, wamewapa usalama Viongozi wa CHADEMA wasitekane ama waje kusema walitekwa.
Watanzania wapo huru, hao kina Mbowe na Lissu wapo huru. Haya mambo mengine ni hisia tu wanazojenga na wanazo tengeneza-sio Uhalisia wa mambo mtaani. Ati Mambo sio salama.🙌🏾