The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kaka hivi ww unadhan wanafanya maandamano ili wajae barabaran au wavunje vioo maduka? Nakupa tafiti ndogo kama umemesoma ,kaandike tanzania abduction google uone dunia nzima inazumgumziaje tz ,nia ya maandamano ni kushawishi.Maandamano
....yooooooooooooooooooooooooooooote
Kuanzia 255 mpaka ya maombolezo
.....yamebuma.
Sasa Tiiigo, Tigo, Tiiiigo Tigo
Mafupa haya.
Mfano mm na ww ni washkaji ukaamuaa unanidhulumu milion nlokukopa ,huwa ili unilipe sio nikukabe au tupigane natumia njia za amani kama maandamano
1.naenda kwa paroko /sheik unapoabudu naenda kushitaki nikiwa nimemwita na mama yako mzazi
2.ukigoma naenda kukusemelea kwa bosi wako kazini nikiwa nimemita na pembeni niwaalika msimamizi wako wa ndoa na mama mkwe
Ndivo inavofanywa siasa ya kistaarabu unatumia ushawishi.
Mafqnikio ya maandamano ya juzi
1.Imefanyq watu kibao duniani kupigia kelele utekaji na uuaji
2.imewapa confidence watu kuongelea bila kuogopa akiwamo rostam,butiku,tibaijuka
3.imefanya isiwe ishu ya kitaifa bali kimataifa imerushwa mpaka bbc
4.viongozi wa dini wameomba chadema kusitisha maandamano kwa ahadi kuitisha kikao na mama samia (wasingeitisha wamepata sababu)
5.Hii kesi ya tigo sio stori ni kitu mwiba ila jamaa wimbi hili la maandamano na kukamatwa lisu limewaibua hasira hadi kutoa siri ya kumpa lissu nguvu upya
Mm sio mwanasiasa wala mwanachama ila hii nimekupa kisomi zaidi