Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Lkn twende pembe turudi nyuma . Bila kujali udhaifu, matumizi mabaya ya madaraka. Serkali kupitia vitengo vyake inaweza kuzitaka taarifa zako kwa matumizi sahihi kwa weledi kwa usalama wako .
Si tigo tu mawsiliano yoyote yanaweza kufuatiliwa.
Ukiacha tigo, voda n.k . Unapo install app zinakuambia zinaweza kusoma taarifa zako na wewe kwa kutaka app una click agree. Je umewahi kuhoji taarifa zako wakiziangalia wanampatia nani na kwa nini?
Kukosekana tu kwa weledi ndio mtu kwa kutumia cheo chake anazitumia sivyo.
Kwahiyo mitandao hawezi kulaumiwa ikiombwa taarifa za mteja na serkali kwa njia sahihi