BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Ila UPO
Mitandao yote Tanzania ina matatizo, ila ina tofautiana kidogo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila UPO
Lengo kuwa na mitandao yenye matatizo au huduma bora?mtoa leseni na msimamizi wa hii mitandao TCRA ni wajibu wake kusimamia huduma bora, sisi hatupew huduma hizi bure, ukiandika eti yote ina matatizo ina maana sisi watanzania ndio wa kutumia vitu vyenye matatizo kwa hela zetu.Mitandao yote Tanzania ina matatizo, ila ina tofautiana kidogo tu
Lengo kuwa na mitandao yenye matatizo au huduma bora?mtoa leseni na msimamizi wa hii mitandao TCRA ni wajibu wake kusimamia huduma bora, sisi hatupew huduma hizi bure, ukiandika eti yote ina matatizo ina maana sisi watanzania ndio wa kutumia vitu vyenye matatizo kwa hela zetu.
Bora kwenye mabenk huko sawa,BoT hawawez kufanya regulation ya foleni.Mkuu hakuna anayependa kutumia vitu vyenye matatizo, lakini nimekuambia hivyo kwa sababu Tanzania hali hiyo ndivyo ilivyo, nenda kwenya mabank tatizo, kila huduma hapa ni tatizo juu ya tatizo, kuna vitu vinaboa to the maximum. Ndo maana nikasema angalau hao, ingawa nao ni wale wale.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji117] [emoji13] [emoji13]Washenzi sana nimetamani kutupa laini yao yaani tabu tupu
Alafu watakuwa Na ujinga wao Wa kutupa MB 5 Na sms 5 Na dakika 5
Bora kwenye mabenk huko sawa,BoT hawawez kufanya regulation ya foleni.
Ila hii mitandao kuna regulatory yake pale MAWASILIANO hawa akina TCRA wanafanya nini katika kusimamia haya makampuni kuboresha huduma?Ni wao ndio wanapaswa kusimamia mbona kila kukicha wanazifungia redio why washindwe kuzifungia hizi kampuni ili zijirekebishe?tigo leo amewapa hasara watu wangapi?watafidiwaje?na hili ndani ya mwezi linatokea kwa mara ya pili,tusiwe na mazoea ya vibovu hawa jamaa sisi tunawalipa hela tena nyingi sana ili tupate huduma wanazouza,wakitoa huduma mbovu wenye mamlaka lazima wasimamie hili na jamaa wawajibike, hakuna tena mambo ya kuzoeazoea tupate huduma bora hilo ni LAZIMA sio ombi.Kinachopaswa sisi wateja ni kupaza saut ili tupate huduma bora zinazokidhi.Na tupige kelel TCRA wafanye kazi zao,kila siku wanakamata watu wanaotukana mitandaoni mbona hawatumii hizo nguvu kuhakikisha wanasimamia huduma bora za mawasiliano?
Iwe changamoto kwao
Mimi nimeshamlalamikia hadi waziri mwenye dhaman, tcra wenyewe nimewaandikia malalamiko na kuwatumia, nimepeleka malalamiko balaza la usuluhishi sijui la mambo haya ya mawasiliano lakini wapi,so kifupi wanatia mashaka hao wasimamizi tuhisi wanagawiwa kitu kidogo,hizi kampun ni binafs na zinapotoa huduma mbovu lazima serikal ihoji,ila nashangaa hata wabunge na mawaziri ni wateja wa tigo but hawasemiThere you are, TCRA ni tatizo kubwa mno, sijui wana mgao, kuna vitu vinafanyika hata sielewi sijui wanafanya nini, ukiacha shida ya hii mitando kuna tatizo lilingine la kutumiwa meseji za matangazo yao yaani ni shida, kila baada ya muda meseji unaingia mbayo ni usumbufu tu na matangazo yao. Mimi binafsi nilshawahi kwenda hadi makao makuu ya Voda pale Mlimani City kuwalalamikia hili, nashukuru siku hizi sipati tena hizo meseji zao za kipuuzi. Kifupi walaji (watumiaji) wanalalamikia chini chini tu hakuna hatua wanayochukua. Sasa cha kuchekesha zaidi ni kuwa leo si Tigo wamekuwa na matatizo, lakini wataomba rahisi kirahisi tu na bussines as usual bila kujali watu wamepata hasara kiasi gani. Some times mtu hadi unajuka kuzaliwa kwenye hizi nchi hizi.
Naisubiria ofa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Washenzi sana nimetamani kutupa laini yao yaani tabu tupu
Alafu watakuwa Na ujinga wao Wa kutupa MB 5 Na sms 5 Na dakika 5
Mbona Tigo iko vizuri, I have never had any problem with Tigo!Tigo nimeiwekaga ya kupigiwa simu tu.
Sio kwa matumizi mengine.
Poleni ving'ang'anizi [emoji12]