Tigo leo inaboa mfano wake hamna

Tigo leo inaboa mfano wake hamna

Me nlifkir peke yang wanaboa kinoma dawa ni kuhama.
 
Yani hawa wametuona sisi kama manyumbu unazima mawasiliano without notice
 
Huu mtandao dume Tigo leo unani? Tunajaribu kupiga simu kwa subscriber wa Tigo na haziendi kabisa.

Kunani Tigo?
Jana nimepoteza mishe mishe kwa sababu ya network ya tigo kusumbua
 
Back
Top Bottom