Daah, hii imenichekesha sanaI hate tiGO kama ninavyochukia "tigo"............
TIGO inachukua nafasi hii kuomba msamaha kwa matatizo yaliyojitokeza. Kwa tatizo lolote kama hili PIGA *148*01# ili upate msaada wa haraka iwezekanavyo. Uongozi wa TIGO bado tunaamini kuwa tunaongoza kwa kutoa kile kitu ambacho wateja wetu wanakihitaji. TIGO, kwa pamoja tusemeeeeeeee, EXPRESS YOURSELF.
BY THE WAY: ZAIN aka AIRTEL IMEKUWA MORE WORSE OVER COUPLE OF WEEKS NOW: MFANO JANA NIMEPIGA ZAIN to ZAIN NIKATUMIA DAKIKA 6, GHARAMA ILIKUWA 1060/=
HII MAANA YAKE NIMEKATWA 2.94/= KWA SEKUNDE MOJA:
USHAURI: VODA KWA VODA are relatively down. TIGO NA ZAIN are equally the same na wanatuibia.
Mmmh jamani tigo tu ? mimi nimetumia tzs 87 kwa sekunde 30 AIRTEL. hii naona ni kama tzs 3 kwa sekunde 87TSH/30Sec= 2.9TSHS/SEC. hiyo nusu shillingi ipo wapi, na hii ni AIRTEL to AIRTEL