tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

Mkuu hiko kifurushi cha 2500 kwa mwezi kinakuwa ni cha simu au Kompyuta?
Na kinakuwa na kiasi cha Gb au Mb ngapi kwa kifurushi?

mb 400 baba. unajivinjari full month mameen

Tshs 2000. 50 mb Voda- Very fast na inawza kuisha ndani ya 1 hour kwa matumzi ya kawaida

Tshs 2,500 400 mb Zain.- Hii iko slow, so it last vry long

Hawa jamaa huwa hawana msaada hata ukiandika inakuwa kazi bure tu. Simu za customer care zinazoita kwa milio huwa hawapokei ndio wajisumbue kusoma maoni?! Waache wazidi kujiharibia.

Mkuu hiko kifurushi cha 2500 kwa mwezi kinakuwa ni cha simu au Kompyuta?
Na kinakuwa na kiasi cha Gb au Mb ngapi kwa kifurushi?

Kinakuwa na 400mb na mimi naipata kwenye 3g HSDPA iko fast kweli kwenye computer....kwenye text andika ....intaneti then send to 15444.......utarudishiwa msg inakuuliza kama unataka kifurushi cha 400mb jibu ndiyo....then unajibu ndiyo kwenda 15444...unakuwa ushapata kifurushi chako....na hata kifurushi hiki kikimalizika ndani ya siku mbili unaomba tena ni Airtel hao kwa tsh 2500 tu..... tigo ndo nini.....jombaa

Kwani tatizo ni nn? Hamieni airtel kwani gharama zao ni nafuu zaidi kuanzia kwenye mazungumzo mpaka kwenye vifurushi vya internet.

Nasema haya kwa ushahidi. Nimeitumia airtel kutengeneza system yangu pmaka imeisha bila matatizo na kwa gharama nafuu.

Pia jamaa wa jigambeads.com , jigambe.com na tanzaniakwetu.com ndo walonishawishi niitumie, kujaribu mambo shwarii bila tatizo.

Mkuu hiko kifurushi cha 2500 kwa mwezi kinakuwa ni cha simu au Kompyuta?

Na kinakuwa na kiasi cha Gb au Mb ngapi kwa kifurushi?

ni cha computer na kina MB 400: unatakiwa kukitumia ndani ya mwezi mmoja.

swali hivo vifurushi vya 2500 ni simu au laptop mbona mnayazunguka maswali mloulizwa mwanzo???

swali hivo vifurushi vya 2500 ni simu au laptop mbona mnayazunguka maswali mloulizwa mwanzo???

afu hakunaga kitu kinaitwa kifurushi cha simuna kifurushi cha laptop (hizo lugha za biashara tu za kilaghai) MB ni ile ile cha msingi angalia unaweza pata MB ngapi kwa shilingi ngap na zitakaa muda gani full stop.

In all fairness, thread hii haina hadhi ya kukaa kwenye jukwaa la siasa

Kila siku mida ya saa 4 asubuhi hadi jioni, nikiweka vocha zinakataa na nikipiga simu hazipatikani, na wala haziendi, naomba watujibu kulikoni, au na wao ni kama TAA-NA-NEE-NI-ISIKO?

Ebu toka hapa!

acha ujinga wewe, mwenzako analeta hoja yenye mashiko wewe unaleta upupu....

kweli hawajamaa ni washenzi sana jana saa mbili uisku nilikuwa na salio la sh 1,235, nikapiga simu mbili na kuandika sms 2 tu. mida ya saa tano na dk 40 nikapiga simu mpaka saa 6:02 usiku.. ikagonga alert ya kunijulisha kwamba salio linakaribia kuisha. nikaangalia salio nikakuta sh 109. nikapiga simu tena ikawa inasema salio langu halitoshi, nikaangalia salio tena nikakuta sh 15... nilipigwa na mshangao sana.
na nilipanga leo niingie kwenye Facebook wall niwatukane mpaka basi..
cha kukushuri mkuu switch Airtel tu..

kazi imewashinda looooong tym. karibu Airtel na wala usithubutu kwenda Voda kwa kuwa hawajali watanzania. Ila kama zako ni kumendea watoto wa shule komaa hivyo hivyo

Kila siku mida ya saa 4 asubuhi hadi jioni, nikiweka vocha zinakataa na nikipiga simu hazipatikani, na wala haziendi, naomba watujibu kulikoni, au na wao ni kama TAA-NA-NEE-NI-ISIKO?
Kwani hii nayo ni habari ya SIASA?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…