Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo asabuhi nilukuwa napiga simu kwa jamaa yangu sikuweza kumpata hewani.Cha ajabu nikaunganishwa na huduma ya kuacha ujumbe pale palsikujua ni nini kinaendelea kumbe jamaa tayari wanakata chao .Sasa kana sio wizi nini unampa mteja huduma ambayo hakuihitaji na bila idhini yake mnakata hela.
Ukipiga customer care 0713800800 ndio balaaa kabisa wanaanza kukata hewa pale tu unapojibiwa na sauti zao za kurekoti na utakuwa na bahati ya mtende kama simu yako itajibiw
Je huu sio wizi wadangajika wenzangu.na kama ni wizi tutaukomeshaje?
Namshangaa mwil mzma! Hamia airtel, mtandao unaolipa kodi....!
Umenifungua mkuu, nilikuwa sijui hilo, hii ina maana hata mimi wamenila sana!!!
Wananichosha pale wanaposena sh1/sec, vat exclusive. Kwanini usijumlishe na Vat umpe mteja hesabu kamili?. Huu ni wizi. Mitandao yote ni wezi. Serikali ni wezi watupu.
Hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki.,.,hata kama na wao wezi lakini angalau wao kodi yao inaonekana ......